Yaliyojiri Mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi yaahirishwa hadi 19/01/2022

Ndio mana kila wakati nasema polisi walio pewa hii kesi ni viazi. Hawakujipanga. Mfano juzi walisema shahidi wao ni mstaafu na ana muuguza mzazi wake Handeni. Watajitahidi kumleta. Mara paaa alieletwa ana miaka 37 na sio mstaafu..
Bado jaji ana endekeza ujinga mahakama kudanganywa.
 
Mboe lazima atalipia kwa matendo yake maovu ya kuvuruga amani ya nchi yetu.
Tangu ushahidi uanze kutolewa hakuna hata dalili ya ugaidi, kinachotolewa ni ukamataji, uwekaji mahabusu, kuandika maelezo, kusafrisha washitakiwa, kuharibika kwa gari njiani, miamala ya shs 80 elfu, detention register n.k. Sasa ugaidi utaelezwa lini na mashahidi muhimu wanaisha?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jinai kumwajiri komandoo aliyefukuzwa kazi? Sasa mbona ushahidi wa ugaidi hatuuoni na mashahidi muhimu karibu wanaisha?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jaji hawezi toa maamuzi hadi kwenye hitimisho
 
Jaji nae ni sehemu ya upuuzi ule wa kunajis Mahakama. Kwa kifupi Wote Lao moja.
 
Inaonekana Mstaafu aligona kuja kwenye kesi ya mchongo
 
Nimecheka ile mbaya. Yaani kweli hii kesi ni MCHONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…