Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Subiri tarehe 4 Lubuva nd atajua Dar ikoje sku 4 cacesan kituo ni kwani bado watu 1500 hadi jaa wameanikiahqa 1500
 
Hujui lowassa kwenda chadema ni plan b ya ccm kuendekea kushika madaraka' ccm walishatanguliza majembe sasa wamebaki kichukua nchi
 

Lowasa Ndo Baba Wa Taifa Hili Changa Ukubali Ukatae, Hata Policcm Wanajua Hvy Na Ndo Maana Hawakuthubutu Kurusha Hata Tone La Bomu, Si Hvy Tu, Bodaboda Zaidi Ya Mia Moja Zilipita Mjini Posta Bila Kukamatwa, CHAGUA LOWASA CHAGUA MAENDELEO YAKO. AHSANTE.
 

Jana huyu Salum Mwalimu kahojiwa na voa kajiumauma tu, mambo huwa yanaanza kama tetesi hivi hivi, hata Lowasa kuja CDM ilianza kama tetesi
 
Nitamuunga Mkono Slaa kwa uamuzi atakaochukua lakini sio kufanya kazi na EL
 

Mbatia ni CCM damu
 
Yani aende Mwanza kunadi kina Bulaya akose nafasi ya kumpatia form EL?
Ile ni Ofisi yake, ina maana hizo shughuli za vyama anafanyia Ikulu na Jk?
Wacha kujifariji labda uniambie yuko kanisani anatubu
 
chadema wana utaratibu tofauti mkuu. ili kuepuka makundi, chama huwa kinaandaa mgombea mmoja tu anayefaa kupeperusha bendera ya chama.

Sasa mkuu Lowasa kaandaliwa lini, wapi na kina nani aweze kuwa the best candidate kwaajili ya CHADEMA ?
au ndio mambo ya kitengo @work...?
mbowe na genge lako anagalieni figisu figisu zenu zitawatokea puani...ohooooo
 
Haya mafuriko ambayo wanasema yamezuiwa kwa mkono huko CCM yataweza kulisoma Burudoza waliloweka kwenye mkondo??
 
Hivi tume ya uchaguzi sio CCM kweli maana asije akashinda mgombea kutoka CDM halaf wakamuweka mgombea kutoka CCM .Mmmmh aya ngoja tusubil maana tafsiri ya neno mapinduzi lina maana kubwa mno ila watu hawajajua.Mungu ibariki afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Mtia nia kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa ametangaza kuwa atafanya kampeni ya hoja kwa hoja dhidi ya CCM, ametoa kauli hiyo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CHADEMA kuwania urais, "tukijipanga tukajiorganize vizuri, tutapata ushindi bila shida" alieleza "mwaka huu ni hoja kwa hoja, CCM haiwezi kufua dafu" alisisitiza Lowassa.
 
Mmekuwa kama maiti, Kila njia unayopitishwa sawa tu, hivi kwa hoja gani lowassa alizonazo mpaka kutishia wengine?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…