Bado police ccm wanadhani ni mwenzao
maneno kuntu hayo!! au mfumo ndio umejisahau?
Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisisiemu lkn kwa mara ya kwanza leo maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Eduard lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mambomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa
Hivi unajua kuwa Dr Slaa ni katibu mkuu?
Hivi unajua kuwa hapa karibuni wana mkutano mkuu wa chama?
Hivi unajua shughuli za chama ye ndo mratibu mkuu,ana mambo mengi ya kuweka sawa muda huu kabla ya mkutano mkuu.Usitegemee kumuona ona kila wakati yupo busy kuliko JK
Maneno ya Mungu sio sawa na ya mwanadamu
mawazo ya Mungu sio sawa na ya mwanadamu
oohh Mungu uuh Mungu ni Mungu tu...
MAGUFULI (CCM) VS LOWASA(CCM) HUU MCHEZO TUUANGALIE KWA MBALI SANA.
1. JK amteua Mbatia bungeni
2. Mbatia mara tu baada ya kuteuliwa aonesha kutoendana na JK and JK kimya
3. Mbatia Kinara uanzishwaji wa UKAWA na hata pale nccr members walipoonesha kupinga akasimama kidete
4. Mbatia awa kinara kulob UKAWA wamchukue Lowasa na awe Mgombea kuondoa makundi ya kivyama
5. Lowasa achukua Form kupitia chadema
6. Lowasa atashinda UKAWA kwa nguvu za mbowe na Mbatia
7. WHO IS MBATIA?
Yani aende Mwanza kunadi kina Bulaya akose nafasi ya kumpatia form EL?Hivi unajua kuwa Dr Slaa ni katibu mkuu?
Hivi unajua kuwa hapa karibuni wana mkutano mkuu wa chama?
Hivi unajua shughuli za chama ye ndo mratibu mkuu,ana mambo mengi ya kuweka sawa muda huu kabla ya mkutano mkuu.Usitegemee kumuona ona kila wakati yupo busy kuliko JK
chadema wana utaratibu tofauti mkuu. ili kuepuka makundi, chama huwa kinaandaa mgombea mmoja tu anayefaa kupeperusha bendera ya chama.
Kawimbo haka nakapenda hata niwe nimelewa nasisimuka