Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,024
221,637
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .

Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika



========

Wananchi wa Kata ya Puge jimbo la Nzega Vijijini wasimamisha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Msafara wa Mhe. Lissu unaelekea Urambo na Tabora mjini kuendelea ratiba zake za mikutano ya kampeni leo Oktoba 16, 2020.

Your browser is not able to display this video.

 
Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Mwenye chama DJ Mbowe baada ya uchaguzi anamuundia zengwe Mbelgiji maana anaweza kumpora chama mchana kweupee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…