Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Tujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.

Achana nae huyu Mkuu Ritz,wengine sijui kwa nini huwa wanakuja JF wakati ile principal ya kukubaliana kutokubaliana hawaijui.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Ngongo mgombea wetu ulio bet Jaji Askofu Ramadhan wamemchinjia baharini.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
mpinzani anapita...mipango aliyoisuka ya namna ya kummaliza el ni kabambe mno ...jina la fisadi lilikatwa mapema mno na watu wa maadili tena baada ya watu wa usalama kuwasilisha riport yao.. yote hii ni mipango ya mpinzani no 1 wa el...na vile vile system iko nyuma yake....


hatari kweli , ila Watz tutakuwa mabwege kuongozwa na Maembe.
 
membee.jpg
the next president of tanzania
 
ni mastaajabu wengi tunavyokufahamu kuwa wewe ni muumini wa siasa za mwl Nyerere.tulitegemea utasimama katikati ya hao wagombea , lkn tumekushuhudia uko bega kwa bega na E LOWASA. huenda kuna jambo unalolihahamu kuhusu huyo bwn ambaye nasikia Mwl Nyerere aliwahi kumkataa.
 
Back
Top Bottom