ukali wa nini sasa...si tayari mtu wake yumo tano bora na ndiye mshindi
Utendaji wake ndo kitu cha muhimuWote hawafai,huyo magufuli anapenda sifa za kihaya
Tujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.Unaweza kuwa chizi wewe unapinga mpaka ulichokiandika .ccm bye bye bye.
VOTE FOR UKAWA
kwa lipi alilotufanyia sisi masikini wa vijijini?
magufuli kila kona ya nchi hii unakutana nae,sijui utatwambia nini kajipange upya
Wakuu hapa Dodoma ni kama kumepita ugonjwa wa mnyoofu sababu hali si muhali hata kidogo!
Watu wamenyong'onyea sana and keep my word CCM inaenda kupitia kipindi kigumu sana.
Utendaji wake ndo kitu cha muhimu
Sasa ngoja tuone nani mwingine anayekatwa leo.
Je mpinzani namba moja wa EL atapita?!!
Pen ya JK Sio ya 200 /=
mwanamke atakuwa makamu wa rais, wa ccm
Magufuru huyu aliye sema wananchi wapigembizi kuvuka kigamboni kama hawata toa miambilimiambili au mwingine duh!
Katka kizaz changu pia nimeshudia mizengwe hii ktk siasa za tz, daah nitasimulia wajukuu wangu....
tusubr tuone kama wana plan B