Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

Nafikiri badala ya kumlaumu Mh.Lowassa,ungewalaumu hao uliowataja kwa kukubali kwao kurubuniwa na serikali ya ccm,au hujuwi mabilioni yaliyotumika kuigeuza mioyo ya hao uliowataja?
Dr Slaa alipewa Dola milion 2 na Membe na Lipumba alipewa Dola milion 1.5 na Membe lengo la wao kununuliwa na Membe ilikuwa ni kumkomoa Lowasa na Ukawa Kwa ujumla . Mwenzake Dr Slaa alifundishwa na Mwakyembe jinsi ya kudanganya umma lakini akapuuzwa sasa yupo Canada kajificha huku madalali wa siasa akina Lizaboni na wenzao akina Form six Div zero wapo busy kubuni jinsi ya kupiga Pesa kupitia mgongo wake yaani watamshawishi kuja kuvuruga chadema Kama anavyofanya Lipumba sasa baada ya kupewa Pesa huku madalali wakiwa wamepata cha juu humo humo ( kufa kufaana ) wajanja wa CCM wanajinufaisha kupitia huo mladi mpya wa Lipumba kuivuruga CUF .
 
mtatiro pro cdm , yeye mpka hapo yupo mguu MMOJA nje na mingine ndani mda wowote utasikia amechukua nafasi ya MNYIKA
 
Dr Slaa alipewa Dola milion 2 na Membe na Lipumba alipewa Dola milion 1.5 na Membe lengo la wao kununuliwa na Membe ilikuwa ni kumkomoa Lowasa na Ukawa Kwa ujumla . Mwenzake Dr Slaa alifundishwa na Mwakyembe jinsi ya kudanganya umma lakini akapuuzwa sasa yupo Canada kajificha huku madalali wa siasa akina Lizaboni na wenzao akina Form six Div zero wapo busy kubuni jinsi ya kupiga Pesa kupitia mgongo wake yaani watamshawishi kuja kuvuruga chadema Kama anavyofanya Lipumba sasa baada ya kupewa Pesa huku madalali wakiwa wamepata cha juu humo humo ( kufa kufaana ) wajanja wa CCM wanajinufaisha kupitia huo mladi mpya wa Lipumba kuivuruga CUF .

unge malizia pia NA MBOWE ALIPEWA 5m usd , ili aachie ile nafasi , wew unadhani kama sio LOWASA kuja kwenye hivi vyama si vingekuwa bado viko stable , na huku tunakoelekea huu mgogoro utahamia CDM mda si mrefu
 
Membe anajuta pesa alizopoteza bure bila kupewa shukrani yoyote!!

Lipumba anajuta sana maana aliyoahidiwa yameyeyuka!!

Wote waliokuwa ktk plan hii wamelaghaiwa!! Wanalia njaa.
 
Tunamtaka Lipumba lowassa tuachie CUF yetu hatutaki mafisadi wa chadema watuingilie
Richmond ni ya kikwete Pesa za CCM ndizo zimevuruga mkutano wenu , fisadi ni Lipumba alichukua Dola milion 1.5 toka Kwa Membe akala kona mlikula nae hiyo Pesa maana unamtetea sana , sasa Pesa imeisha mnakuja na mladi mpya mvune Pesa za CCM Kisha mdhoofishe CUF watu wamewashitukia , mwambie Lipumba aende kwao Congo akaanzishe chama agombee Urais akishindwa akaishi Rwanda aliponunua nyumba .
 
unge malizia pia NA MBOWE ALIPEWA 5m usd , ili aachie ile nafasi , wew unadhani kama sio LOWASA kuja kwenye hivi vyama si vingekuwa bado viko stable , na huku tunakoelekea huu mgogoro utahamia CDM mda si mrefu
Madalali wa siasa hawalali wapo busy saa 24 kubuni jinsi ya kuchukua Pesa za CCM Kisha kuvuruga upinzani , wapo watu wametajirika kupitia Pesa za kupenyeza Fitna na vurugu Kwa wapinzani .
 
wewe kibaraka wa Mwanauchumi Uchwara sio!!?
Kichwani kajaa Pumba sasa ni sawa na profesa maji marefu kitaaluma, Taaluma yake kichwani ni Feki atakuwa Aliiba mitihani akamiliki vyeti kijanja janja, Aina ya watu Kama Lipumba wanafanya watu wenye cheo cha Uprofesa watiliwe mashaka sana maana vijana watajua kumbe profesa ni wajinga wanarubuniwa na Div zero form six kirahisi , itafanya wavunjike moyo kusoma Kwa bidii .
 
Back
Top Bottom