Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

hivi LOWASA anajisikiaje kuja kuvuruga vyama vya upinzani , leo jemedari wa mabadiliko slaa kaondoka kwa ajili ya huyu jamaa lipumba naye hivyo hivyo kisa ni LOWASA
 
Nkikuwa na cheki hapa nao live stream imekatwa baada ya wajumbe kuanza kuimba Lipumba!Lipumba wakati Maalim Seif alipokuwa akielezea kwanini hakuna ulazima wa Lipumba kuitwa.
Uzanzibar na Utanganyika ni kaburi la CUF ni wakati wa viongozi kukinusuru chama chao.
Japo wajumbe wamesema ukawa imekififisha chama ila kuna maeneo bila ukawa CUF wasingepata kitu.Ila nakubaliana na wajumbe kuna sehemu CDM ili hujuma Ukawa hasa Jimbo la Segerea.
Umoja ni nguvu na ni siri ya ushindi.
 
LAITI CUF INGEJUA NI BORA KILE KIPINDI ALIVYOJIUZURU TU MKUTANO MKUU UNGEITWA NA AKACHAGULIWA MWINGINE
 
MI BINAFSI NAONA LIPUMBA ANATAKA KUWA JUU YA CHAMA
NA NI VYEMA AKACHAGULIWA MWENYEKITI MWINGINE ILI DEMOKRASIA IANZE PIA CUF MAANA LIPUMBA TUU TANGU TU WATOTOT WADOGO MPAKA LEO TUSHAANZA KUNYOA MIDEVUU KHAA LIPUMBA ONA HAYA NA HIKI KIKUNDI CHAKO HARAMU HUMU MKUTANONI
 
Majina 3 yatakayopigiwa kura kujaza nafasi ya Uenyekiti, iliyoachwa wazi na Mwanauchumi Uchwara Lipumba ni
1. Twaha Taslima
2.Riziki Shahari Mngwali
3.Juma Nkumbi.
CUF Tanzania kwa mabadiliko haya mtasonga mbele.
 
Baada ya kumaliza kuteua viongozi musiache kuitisha mkutano wa hadhara kwa ajili ya kuwatambulisha viongozi waliochaguliwa kwa wananchi.
 
Majina 3 yatakayopigiwa kura kujaza nafasi ya Uenyekiti, iliyoachwa wazi na Mwanauchumi Uchwara Lipumba ni
1. Twaha Taslima
2.Riziki Shahari Mngwali
3.Juma Nkumbi.
CUF Tanzania kwa mabadiliko haya mtasonga mbele.
Vibaraka wa lowassa na mbowe wote hao.
 
hivi LOWASA anajisikiaje kuja kuvuruga vyama vya upinzani , leo jemedari wa mabadiliko slaa kaondoka kwa ajili ya huyu jamaa lipumba naye hivyo hivyo kisa ni LOWASA

Nafikiri badala ya kumlaumu Mh.Lowassa,ungewalaumu hao uliowataja kwa kukubali kwao kurubuniwa na serikali ya ccm,au hujuwi mabilioni yaliyotumika kuigeuza mioyo ya hao uliowataja?
 
Back
Top Bottom