Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

MarchArmy

Senior Member
Aug 19, 2016
160
104
Taarifa kwa Umma.

Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama wake wote wapenzi, mashabiki na wananchi kwa ujumla kuwa wanaweza kufuatilia live mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea muda huu popote pale walipo.

Mkutano huu unafanyika jijini Dar es Salaam huku lengo kuu likiwa ni kufanya uchaguzi wa viongozi ili kujaza nafasi ya Mwenyekiti Taifa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi kufuatia kuwa wazi kwa nafasi hizo kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktoba, mwaka jana.

Ili kuweza kuangalia bonyeza link hii hapa_CUF TAIFA Live Stream:
 
Pamoja sana mkuu wale vijana wa Lipumba muda huu watakuwa kwenye machozi baada tukio lao kufeli nawatakieni CUF kila la heri kwenye uchaguzi huu wa kuchagua viongozi wandamizi ndani ya chama chao. MarchArmy
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom