Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

lipumba aliomba nafasi kusema na alisema nakusudia kujiuzuru baada ya kupatikana wagombea
 
na alisema mbele ya kamati tendaji ya taifa na mimi kama katibu nilienda nyumbani kwa lipumba na tulimweleza tamko lako linatushitua na tulimwambia kama anakusudia kujiuzuru asubiri mpaka uchaguzi uishe kwani si vizuri kuitia meli kwenye dhoruba
 
Waongo hawa link yenyewe haifunguki
Mkuu mbona mi nacheki now ilikuwa offline sasa hivi imerudi Live
Screenshot_2016-08-21-12-53-20.png
 
Tafuta kwenye huu Uzi ukiona coment hiyo ya mzee touch hapo kwenye mchoro ambao unaonesha kama link ime feli utapelekwa moja kwa moja YouTube live na utaweza kucheki mkutano live bila chenga.!
Untitled7.jpeg
 
Twatarajia kupata kiongozi bora atakaeweza kuleta mabadiliko
 
Kwa wale wanaoenda na siasa hususani chama cha cuf wanatambua vizuri Mazuri yaliyofanywa na kiongozi huyo, pia wanatambua vizuri mazaifu au mapungufu ya kiutendaji ya kiongozi huyo. Hivyo basi hakuna kipya kitakacho weza kufanywa na kiongozi wa aina hii kikaweza kuwapa moyo wa matumaini wanachama na wapenzi wa cuf hasa up ande wa bara viongozi hawa wa cuf toka mwaka 1995 mpaka hivi leo wameshindwa kubuni mbinu na mikakati endelevu ya kuweza kukifanya kinawili hasa up ande wa bara kete kubwa ninayoina ambayo pengine wakatoka nayo ni hii ya kuendeleza au kubaki katika umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, na hili halina manufaa sana katika kipindi hiki kwa kuimalisha chama. Yote kwa yote tusubili tuone kitakacho tokea.
 
Back
Top Bottom