Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Ndg Mayalla, nyie wa vyombo vya habari mnaogopa kufanya live coverage ya mikutano ya Lissu kwa sababu mnazozijua wenyewe. Hata magazeti, almost yote yanakuwa na title moja tu ya Magufuli, na kapicha KADOGOOOOO ka vyama vya upinzani. Hatujawahi kushuhudia uoga wa wanahabari kwa tawala za huko nyuma kama huu tunaoushuhudia sasa. Kweli tunajua mna watoto wa kulea, mnaogopa kufungiwa, lakini mmezidi mno.
Akijibu hili Paskali ntakimbilia ccm!! Paskali anaogopa kivuli Chake mwenyewe!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
[QUmOTE="Wakudadavuwa, post: 36761347, member: 353133"]
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
[/QUOTE]Mdomo hauna VAT we jifurahishe tu.
 
Kila mmoja aliamini upinzani umekufa, mpaka watu na akili zao wakahamia NCCR Mageuzi baada ya kupata tetesi kuwa wana viti 20 vya bure na watakuwa KUB..... USALITI MTUPU, sasa kilichobaki ngoja waje wasalitiwe na wake zao maana nao hawastahili kutosalitiwa
Hahaha!!! Hiyo ahadi inatekelezwa kwa ccm kuwakata masikio ili siku nyingine wasikie vizuri na waelewe kuwa ubunge haugawiki kama peremende.
 
Ndg Mayalla, nyie wa vyombo vya habari mnaogopa kufanya live coverage ya mikutano ya Lissu kwa sababu mnazozijua wenyewe. Hata magazeti, almost yote yanakuwa na title moja tu ya Magufuli, na kapicha KADOGOOOOO ka vyama vya upinzani. Hatujawahi kushuhudia uoga wa wanahabari kwa tawala za huko nyuma kama huu tunaoushuhudia sasa. Kweli tunajua mna watoto wa kulea, mnaogopa kufungiwa, lakini mmezidi mno.
Hakuna aliye baki salama, "dictator" pote amepagusa.
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Hakuna kituko kama wewe. Ndio tatizo la kukaririshwa. Kudeki barabara ndio nini? Unamzungumzia Lowassa ambaye hayupo hata kwenye equation? Kwani Lissu na Lowassa wana uhusiano. Kwenye hilo fuvu lako kumejaa usaha tu, nenda hospitali wakuokoe.
 
Nasikia bukoba watu hawajalala kuamkia leo. Ni Lissu tu huko

Kweli magufuli achote tu za kutosha pale BOT kama albashir maana kuanzia November ni Raisi Mstaafu wa Tanzania
Atawaponza mpaka mama Jesca na Jesca na wenzie. Sisi akifanya hivyo tutahakikisha tuna Sukuma ndani yeye, sukuma ndani mama na sukuma ndani na wapambe! Wote sukuma ndani!
 
View attachment 1576775
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.

Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.

Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna amewaalika wananchi wote wa Bukoba kumlaki na kumsindikiza kwa maandamano makubwa mgombea huyo wa Urais atakapowasili Hadi katika viwanja vya Gymkhana.

Wachunguzi wa siasa za Bukoba wanasema huenda Leo mji wa Bukoba ukavunja Rekodi ya Mapokezi iliyowekwa na miji ya Tunduma, Mbeya na Mwanza.

Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%

Kabla ya kuingia Bukoba Mjini Lissu atahutubia mikutano katika miji ya Karagwe na Misenyi
Labda 6% ndiyo atapata kwa hii sera yenu ya majimbo mmejikaanga wenyewe, sera ya kikoloni iliyotumika kugawa bara la Africa ndiyo leo mnaifufua kweli nyie Wabeligiji haswaaaaa
 
Labda 6% ndiyo atapata kwa hii sera yenu ya majimbo mmejikaanga wenyewe, sera ya kikoloni iliyotumika kugawa bara la Africa ndiyo leo mnaifufua kweli nyie Wabeligiji haswaaaaa
Kwa asiye na elimu na hapendi kuelimishwa kama wewe sio rahisi kuelewa.
Sera hiyo ndio iliyotumika USA na kulifanya taifa kubwa zaidi duniani. Mambo ya hela za korosho kushindwa kujenga barabara ya Nangurukuru lakini kutumika kujenga uwanja Chato sasa itakuwa mwisho
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
inaelekea somo analowapa Tundu Lissu haliwakolei.

nitakukumbusha.

1. meli, treni, madaraja, ni wajibu wa kila serekali kwani kodi za wananchi ndizo zinazotumika. pesa hazitoki kwa rais wala chama tawala

2. hata mkoloni alijenga vyote hivi lakini bado Mwalimu JKN (RIP mzee wetu) alipigania uhuru wetu ambao ndiyo huo huo Lissu anaoupigania kwa ajili yetu sasa dhidi ya huyu mkoloni mweusi

3. vitu hivyo kutekelezwa na serekali ni kama ATM (serekali) inavyotumika kuchukua pesa zako kutoka kwenye akaunti yako (kodi yako) mwenyewe benki

4. kutekeleza vitu hivyo pasipokuwa na uhuru na haki katika jamii ni sawa na kujenga nyumba bila msingi juu ya mchanga, nyumba hii itabomoka kabla ya hata kupaua

5. sasa, sasa.... Tundu Lissu anasema anataka kujenga miundombinu na kuinua uchumi katikati ya uhuru na haki. hii ni sawa na kujenga nyumba juu ya msingi imara wa zege, nyumba hii itadumu milele!

6. niongeze volume??
 
-watu wa karagwe, kyerwa, misenyi bkb vijijini ni miongoni watu walio onja shubiri ya awamu ya magufuli. Walizuiwa kuuza kahawa zao kwa wanunuzi wenye bei nzuri, wakalazimishwa kuuza kwa mkopo kwenye vyama vya ushirika tena kwa bei ya chini. Walio kataa kuuza, ghala zao zilivunjwa na kahawa kichukuliwa kwa lazima.
LISSU AZUNGUMZIE MAMBO HAYA NA ABAINISHE AONESHE MBADALA UNAOKUBALIKA NA WENYE TIJA KWA MKULIMA
Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani na kijambazi kabisa
 
Hivi ccm wameshatekeleza haya maamuzi ya Mahakama ya Afrika Mashariki?
 
Attachments

  • Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 1
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema

P
Mwambie mwenyekiti wako asifungie TV ziwe huru, unafeli wp kaka paskali? Au na ww umejitoa ufahamu km uvccm
 
inaelekea somo analowapa Tundu Lissu haliwakolei.

nitakukumbusha.

1. meli, treni, madaraja, ni wajibu wa kila serekali kwani kodi za wananchi ndizo zinazotumika. pesa hazitoki kwa rais wala chama tawala

2. hata mkoloni alijenga vyote hivi lakini bado Mwalimu JKN (RIP mzee wetu) alipigania uhuru bila kujali misukosuko ya wakoloni

3. vitu hivyo kutekelezwa na serekali ni kama ATM (serekali) inavyotumika kuchukua pesa zako (kodi yako) benki

4. kutekeleza vitu hivyo pasipokuwa na uhuru na haki katika jamii ni sawa na kujenga nyumba bila msingi juu ya mchanga, nyumba hii itabomoka kabla ya hata kupaua

5. Tundu Lissu anasema anataka kujenga miundombinu na kuinua uchumi katikati ya uhuru na haki. hii ni sawa na kujenga nyumba juu ya msingi imara wa zege, nyumba hii itadumu milele!
Good.....
umeeleweka
 
Lissu anaenda kuzidi kukiua Chama Cha Mabilisi (CCM) ,wewe CCM kojo kataa kama ccm sio chama cha mashetani yaani zidi kukataa kama CCM sio Chama Cha Mabepari,Death party Chama Cha Mauaji.
CCM vumilieni ndio kampeni hizi zinashika kasi naona mmeanza kusinyaa na mapema, mambo bado maambo baadoo,mnaikumbuka huo mdundo,karibu wakuu wengi wa CCM watabwaga manyanga,chakubanga na Abushiri washanusa exodus of CCM members
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Chadema hawajawahi muacha salama mgombea Uraisi aliyeshindwa uchaguzi Ni Mbowe tu ndiye alinusurika sababu. Ni mwenye chama .Lisu akishindwa na wabunge wengi wa Chadema wakishindwa hasira zao watazimalizia kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom