Porojo nyiiingi kwenye hii thread yaani sijaielewa kabisa. Hebu tuwekeeni HOTUBA ya mh.Rais Dr.J.Kikwete nasi tuisome. Tuko mbali huku wengine hata TV hazishiki.
Mkuu hii ni summary ya hotuba(porojo) unazoitaji kuokoa muda na nguvu zako
Uhuru kenyata ametangaza kuongeza kipato cha chini kwa 14% mwenzetu anapiga soga tu!!!!
Mkuu hii ni summary ya hotuba(porojo) unazoitaji kuokoa muda na nguvu zako
Wanajamvi. Nafuatilia yanayojiri Mbeya. Lakini Napata shida sana nikiangalia maandamano ya wafanyakazi naona wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, hasa waalimu. Kwanini hasa gender imbalance kubwa hivi? Wanaume hawaoni umuhimu wa siku hii ya leo au ndo wamekata tamaa zaidi kuliko dada zetu na mama zetu? Tunaweza kujadili kuhusu uvumilivu na ustahimilivu hapa? Naomba mtiririke lakini tuache yale maneno makali na ya dharau. Nawasilisha.
KOMBAJR
JK- Hotuba
- Wameipokea hotuba ya Katibu wa TUCTA na wataifanyia kazi sababu imekamilika katika idara zote.
- Serikali kutokuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa muda husika hakutokani na mtimanyongo bali ni hali halisi ya kipato cha serikali
- serikali wataunda chombo cha kusimamia utekelezaji wa mambo mbali mbali kwa kuanza wataanza na sekta 6
- Ajira 168,000 zimezalishwa kufikia mwisho wa mwaka jana
- Kodi kwenye PAYE Kupunguzwa 13% mpaka.......... waziri wa fedha atatangaza kwenye bajeti
- waligundua kasaro nyingi katika Mamilioni ya JK, watu wengi walipewa pesa bila kupewa mafunzo ila kwasasa watazingatia hilo katika kutoa mikopo kwa Vijana na wanawake.
- Serikali wanaanzisha utaratibu wa kuwakopesha nyumba wafanyakazi ili kuwapunguzia ukali wa maisha
- Kiwanja cha mbeya cha songwe Umekamilika hii inafungua biashara na kukuza uchumi kwa mikoa ya iranga,Njombe na Mbeya
- Wanambeya wanapata fursa ya kupata historia ya Malkia wa Uholanzi na uhusiano na Tanzania.....Duh!
- fursa za kilimo cha maua kutokana na miundo mbinu zilizopo katika mikoa tajwa, makampuni ya kigeni yatakuwa ila ndiyo mambo ya eeh!this one eeh dont worry hakuna
- Mbeya kufikia mwaka 2018 hakutakuwa na tatizo la maji kabisa.
- Anazungumzia Udini watanzania wajiepushe na migogoro inayotokana na imani
- Turejee enzi za mababu za waislamu na wakiristo kushirikian
- JK amezindua Gazeti la Mfanyakazi
Hapo kwenye Bold kumeniacha hoi.Yaani kutoka 14 kwenda 13= 1%
Ama kweli maisha bora kwa Mtanzania ni ndoto.
Ebu tuangalie hesabu rahisi.
Kima cha chini kisicho lipiwa kodi 170,000/=
Mfano mfanyakazi awali aliyekuwa anapata 200,000ts kama mshahara.
Hesabu zake;
200,000-10%nssf=180,000-170,000=10,000 KIASI KINACHOTAKIWA KULIPIWA KODI YA 14% =1400/=
Baada ya punguzo;200,000-10%nssf=180,000-170,000=10,000/= ''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' YA 13% =1300/=
Tofauti ni 100/=
Hivi kweli 100/= ya kitanzania kwa mwezi huku ni kutaniana au nini!
ebu angalia 100 gawanya kwa siku 30 =3.33/=tsh
Nadhani hawajachelewa naishauri Serikali pamoja na ukata punguzo ya Kodi au nyongeza yoyote ya mishahara lazima iwe na mguso kwa wafanyakazi.
Kwa lugha nyepesi nyongeza iwe na dhamani au nguvu ya ununuzi wa vitu .Mfano kwa siku iweze hata kununua kitumbua moja ya mtoto mdogo (300/=)
Mbeya hapasomeki kweli! Hivi Rais wa Mbeya hajaalikwa?
Mkuu kwa maelezo JK ilianzia 18%,ikashuka 15% na mwaka Jana ikafika 13% inatarajia kushuka tena mwaka huu kwenye bajeti itakayosomwa na waziri wa fedha itagusa hilo pia.....Sijaongeza Neno

Kwa sababu hawa dada zetu huwa wakiona watu wanashangilia nao wanashangilia. Wakiona watu wanalia nao hulia. Huwa ni rahisi kutumiwa kwani wanabadlika sana kulingana na mazingira. Mwanaume mara zote huwa anajiuliza atafaidika na nini kabla ya kujihusisha na tukio lolote
Mkuu kwa maelezo JK ilianzia 18%,ikashuka 15% na mwaka Jana ikafika 13% inatarajia kushuka tena mwaka huu kwenye bajeti itakayosomwa na waziri wa fedha itagusa hilo pia.....Sijaongeza Neno
PAYING TAX>Pay As You Earn (PAYE)
Costs
TZS 14% of (salary between 170,000 and 360,000)
TZS 20% of (salary between 360, 000 and 540,000. Add 26,600)
TZS 25% of (salary between 540,000 and 720,000. Add 62,600)
TZS 30% of (salary exceeding 720,000. Add 107,600)
TZS 6% of (total payroll is Skills and Development Levy (SDL))