Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

Halafu gari hii ya kubeba maiti mbona chafu sana ndani.wamepamba sana nje lakini ndani kuchafu mno

View attachment 519621
Sawa mkuu, umeamuwa kuleta siasa SAWA, ila kumbuka watu wana uzuni, na wanaumia kuondokewa na mpendwa wao, wewe una Wadhihaki.

Mkuu na wewe ipo siku utafiwa na mpendwa wako, mkeo, mmeo, dada, kaka, mtoto, baba au mama.

Kumbuka kuna ndugu jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Ndesamburo wataipitia hii thread na wataona comment zako, alafu jiulize watajiskiaje.
 
Hawa watu mtihan kweli mtubakifa kafa rambi rambi ndio nn nyinyi HIV hivyo vjshiling vina maana gan pale MTU ameshaenda
 
apumzike panapo stahili , hizo pesa mgemtolea sadaka kanisani ingekuwa poa sana, kumuaga kwa mbwebwe vile haimsaidii
Nakuonea huruma.

Mzee Ndesa hajafa bali kapumzika na kaimaliza safari yake vyema, kwani ile miaka ya heri hapa duniani (70) ameukamilisha vyema na Mungu akamwongezea mingine.

Swali limebaki kwetu sisi, Je! Tutaishi kama Ndesa?

Narudia tena "Mzee Ndesa hajafa, kapumzika/kalala"
Je! Mimi na wewe tutakufa au tutapumzika kama Mzee Ndesa?

Nakusihi tubu kwa Mungu wako kabla siku ya leo kwisha kwani hakuna aijuaye kesho ila Mungu pekee.

Sijupenda kukiandika hiki nilichokuandikia kwa sababu kinywa changu hakijawai nena bure.

Mungu akubariki kwa uyatendayo
 
Maisha ya mitandaoni yanaficha mengi, haishangazi huyo Yehodaya ukakuta anaishi maisha ya ajabu sana!

Hataakiishi maisha mabaya bado kuwa na chuki na visasi kwa watu hata usio wajua ni hatari sana kwenye jamii
 
Poleni sana makanda. Chunga sana majizi ya CCM yasitimke na fedha rambirambi maana yamezoea kuiba misibani.
 
Tuna shukuru Watu wa moshi Na wa Tanzania kiujumla Wamejitokeza kwa wingi sanaa uwanjani hapa

Hakika Mzee ndesa Mburo alikuwa Kipenzi cha mioyo ya watu
 
Back
Top Bottom