Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

LALA SALAMA MZEE NDESAMBURO. NILISHUHUDIA HURUMA YAKO KWA WATU WAHITAJI. NINAJUA ULIWASAIDIA WATU WA CHINI, LAKINI HATA WATU WAKUBWA KATIKA HAHITAJI YAO YA KIFAMILIA ULIWASITIRI. ULIJAA SHUKRANI KWA WATU WALIOWAHI KUKUSAIDIA HUKO NYUMA. WEWE ULIKUWA KAMA MTUMISHI WA MUNGU. NAJUA WATU WANAKUONA KAMA MWANA SIASA, LAKINI KWANGU MIMI, WEWE UKIKUWA MTUMISHI WA MUNGU NA NDIO MAANA WATU WENGI WANAKULILIA. ULIKUWA NA BUSARA, MKWELI NA USIEKUWA MNAFIKI. ULALE VEMA NA MUNGU MWENYE REHEMA NA NEEMA AKUFADHILI NA AKUPE MWANGA WA MILELE. AMEN!
 
Hivi hapa hawa "walinzi' walioavaa suti nyeusi wanafanya nini? Au wanahofia maiti itaporwa?

.jpg
 
apumzike panapo stahili , hizo pesa mgemtolea sadaka kanisani ingekuwa poa sana, kumuaga kwa mbwebwe vile haimsaidii
 
apumzike panapo stahili , hizo pesa mgemtolea sadaka kanisani ingekuwa poa sana, kumuaga kwa mbwebwe vile haimsaidii
 
Back
Top Bottom