Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Ilitakiwa kwa mashtaka haya watu wamnyoshee Mbowe kidole cha lawama lakini badala yake wanampungia mkono wa heri.
Lawama zinaenda upande mwingine kama si aibu tuseme ni nini.
Sasa Mbowe alaumiwe kwa kipi? kaka mbona hauko makini comment zako? Hebu jaribu kulaani ulimi wako kabla huja sema.,,,Uungwana ni kuthamini wema aliokutendea pamoja na kuunyima uzani ubaya wake."ama kweli sasa ndo nimeamini hekaya za wahenga ,,,Hatari ya kusuhubiana na mwenye ufahamu dhaifu ni kukudhuru bila ya kukusudia
 
Akili yako itakuwa haina akilli au utakuwa una matatizo fulanifulani au kipindi cha utoto wako uliathirika sana na utapiamlo mpaka imeathili akili yako.

Unatakiwa ufahamu ukumu iliyotumika katika kesi fulani inaweza ikatumika tena pale tu kama mazingila ya hiyo kesi yanashabihiana.
Sasa hapo kuna ushaidi gani zaidi ya stori alizotunga Urio. Kuna kitu gani cha kusapoti stori yake?
 
Wewe Mataga parody la Lumumba kaa kwa kutulia, hujui chochote.
 
Hujawahi na hutowahi kuwa na akili,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Ili haki itendeke- Mbowe apande kizimbani ajitetee- mnaogopa nini?
 
So what? Jamaa una roho ngumu zaidi ya jiwe!
 
Kama washtakiwa watakuwa na kesi ya kujibu au hapana siku ya Tarehe 18 february 2022, NATOA AMRI..
Katika maisha ya mwanadamu hapa duniani Mwenyezi Mungu humpa nafasi moja ya kipekee sana ya kunyenyuka - sasa kama mwanadamu huyo hataitumia nafasi hiyo basi tena, huwezi kumlaumu muumba wako.
 
Samahan lkn nauliza tu, hivi Kibatala anavosimamia hii kesi malipo yake analipwa na Mbowe, au anasimamia km mwanasheria wa chamaa au kesi haihusu chama ina muhusu mbowe km Mbowe.
Analipwa na chama japo ni kupitia pesa ambazo sisi wanachama tumeomba tuchange kwa ajili hyo
 
Bila shaka hukunielewa. Nina maana wanaomshtaki walitaka kumwaibisha lakini badala yake wameaibika wao.
 
Ili haki itendeke- Mbowe apande kizimbani ajitetee- mnaogopa nini?
Apande kizimbani ajitete kwa tuhuma zipi? Akajitete kwa stori aliyotunga Urio? Aibu mliopata ya kushidwa kuthibitisha tuhuma mlizozianzisha haziwatoshi?

Ni mahakama ya kipumbavu tu ndio inayoweza kuendelea kusikiliza shauli lililo based kwenye stori tu ya kutunga bila ya kuwa na concrete evidence

Jaji atajishusha sana hadhi yake
 
Mbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
kwa hiyo mbowe nae kajifunza kubambikia watu kesi?
 
Si tulikubaliana tuna mashahidi 23 jamani, mfanye kuwaleta wengine hata wawili basi, au ndo mmegundua nn kwani mbona wote wanao ushahidi mzuri jamani ninyi Jamhuri mbona hvyo lkn?
Wewee hayo maswali mnayosema eti cross nini? Kijana wa sabaya ndio alikuwa anafuata mh! unaamini Kaaya angebaki salama kama baba wa familia? kama wazee wa kudukua ndio wanaenda kupupu kila wakati ndio unasema tumtangulize kaaya? hata mimi nilikuwa namsubiri ila nilibadirisha mawazo ijumaa ilipobidi kumuokoa shahidi kizimbani.
nikasema koleo limewashinda wahunzi ...........wataliweza?
 
Mmmh! Nafikiri hujamwelewa tu huyo ulie mnukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…