Kabakabana huyu St. Paka Mweupe ni JIKE na St. Paka Mweusi ni Dumehahaha kwani kati ya paka mweusi na mweupe nani demu?au wote jinsia moja?
We St. Paka Mweusi kule hakufai kaka
Yan hayo ni sammary tu lol ila kuna raha zake
Kagua tu siunapenda kukagua? Asprin karuka kasema hakagui mapaka lol hahahaaaaaWewe sio mgeni humu. Usizuge. Hata sikukagui.
We nenda tu si hatujazoea mapaka ya kike kwanza machafu....Tunabaki na Lipaka letu la kiume Li St. Paka Mweusi
Wewe sio mgeni humu. Usizuge. Hata sikukagui.
Bora mkaguane wenyeweNicas Mtei hiloooooooooooooooo...hahahahah
Kabakabana huyu St. Paka Mweupe ni JIKE na St. Paka Mweusi ni Dume
Ngoja waende wakapeane mimba walete St. Paka Kijani
hahahaha hili nalo neno lakini erick yuko vizuriii
Heheheee halafu trachomatis kule panawafaa sana akina Nicas Mtei wanaopenda kukaguakagua kila mgeni lol wataishia kujikaguaHiyo aya ya mwisho ya kweli lakini Erickb52 ? Sema ulienda naye kuibanjua amri ya 6 bhanaa
Kagua tu siunapenda kukagua? Asprin karuka kasema hakagui mapaka lol hahahaaaaa
Ukiona Fisi katema mfupa jiulize Nicas Mtei
Kajamaa kanapenda sana sema hakapatagi nafasi tu lolmbona kama imekuuma kujua sio mgeni?kumbe unapenda ukaguzi eh
Heeee sasa paka huwa wasafi?
Hivi we ni paka wa kufugwa au paka koko?
Hahahahaaaa charminglady jamani nisamehe mupenzi!Afu wewe Erickb52 yan weweeeee acha tu.... Nakusufuri we ngoja!!!!!!!!!!!!!!!
Halafu we Kabakabana ndio umejishika wapi hapo..??