Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Nimekusikiliza vizuri ukichangia leo, nimesikitika sana hivi kweli wanankenge tumekutuma hayo?? Umetuabisha umekuwa dodoki kusafisha uchafuu! Kweli nafikiri sasa ubunge wako nimwisho hatukutaki teena

Dodoki au t.paper?
 
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugora amesababisha vicheko ndani ya bunge wakati akichangia na kutoa mask ya kininja ati ili asiwaangalie watu usoni. Baada ya mwenyekiti kumkatalia akaendelea na vioja pale alipotaka kuvaa kofia na gwanda la CCM, mwenyekiti amemzuia na kusababisha vicheko na nderemo bungeni


Yaani mimi mwenyewe nimecheka hadi mbavu zinauma hapa nilipo. Alijiandaa tayari na mavazi hayo.
 
Nimeanza kumuelewa kwa mbali pia.........anasema kama hawa hawatajiuzuru wote wakina Lowasa na wenzie waje timbele tuwaombe radhi maana hamna tofauti kabisa
 
leizer ni mzee lakini ana fikra zilizo hai thank you grandpa......sio hawa akina vibajaj kazi kutuongelea lugha za kihuni mjengoni..
 
laiser anahoji
huyu tajiri aliyegawa hizi fedha anataka nini kwa hawa watu aliowagawia hizi pesa?

anahoji, waliopekea hizo fedha walitegemea nini hasa, je ni fedha za jasho lake kweli, hata azigawe kama njugu hivi?

Yeye anadhani itafutwe sumu tu ya kuwamaliza hao waliokula hizo fedha za escrow ambazo baadhi zililipwa nusu, anasema sumu, ndio dawa pekee now, kama yeye alivyotafuta dawa ya kuwaua wanyama including ndege na simba na fisi , waliokula ng"ombe wake porini

anashauri kama hawa jamaa waliokula hizi pesa za escrow wakishindwa kuwajibika katika hili, basi anaomba waleee wooote waliowahi kuwajibika huko nyuma including wakina gagasheki, ngereja, lowasa, karamagi, et al, waje mbele na bunge looote liwaombe radhi maana haoni utofauti na hili lililotokea na yale yaliyowafika wao.
 
Watakaochangia kuanzia saa10 joni
John Mnyika
Halima Mdee
EasterBulaya
Shekifu
Mwangungu
John Cheyo
 
mnyika--------halima------------bulaya----------shekifu---------,,,,,,......john cheyo. Saa kumi jioni

Lunch!!
 
kasema kuwa kuna akaunti haijatajwa mmiliki nahisi hiyo inamuhusu vasco da gama

Mkuu, hapo kwenye bold nakuomba u edit maana hawa jamaa wa jf wanaroho mbaya sana siku hizi na hawachelewi kukulima ban. Mwenzio niliandika ule ugonjwa wa .......... dume nikalimwa ban na ndio nimemaliza kifungo jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom