Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

kweli huyo ndio Kenge kutoka Nkenge....anasahau wajibu wake wa kuwatetea wananchi wake alafu anaitetea serikali...huyu mama apumzishwe kwa amani.
 
Duh huyu Mzee mbona sijamsoma hadi sasa? Kaanza kwa mkwara lakini aaghhh wapi? Ccm si wa kuamini, muda wake umekwisha na hamna cha maana alichokiongea
 
Stress ita muua huyu le profeseli.
 

Attachments

  • 1417171759687.jpg
    1417171759687.jpg
    44.6 KB · Views: 221
In fact Mwigulu amebadilika sana sijui ni mkakati wa 2015 au vipi!!!!!!!!!!!!!!!!!! au wenzangu maonaje??
 
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugora amesababisha vicheko ndani ya bunge wakati akichangia na kutoa mask ya kininja ati ili asiwaangalie watu usoni. Baada ya mwenyekiti kumkatalia akaendelea na vioja pale alipotaka kuvaa kofia na gwanda la CCM, mwenyekiti amemzuia na kusababisha vicheko na nderemo bungeni
 
Duh huyu Mzee mbona sijamsoma hadi sasa? Kaanza kwa mkwara lakini aaghhh wapi? Ccm si wa kuamini, muda wake umekwisha na hamna cha maana alichokiongea

kasema kuwa kuna akaunti haijatajwa mmiliki nahisi hiyo inamuhusu vasco da gama
 
Back
Top Bottom