grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,808
Kwa kweli wabunge wanawake wa CCM nimewadharau, na wala wasijisumbue kuja majimboni kuomba kura, wajikombe huko huko magogoni kwa viti maalumu.huu mjadala umevumbua mengi sana kuhusu hawa wabunge wanawake. Kupeana vyeo kwa watu wasio na sifa ni kubaya sana.