Hebu elezea vizuri walikuwa wanatanua nini ndani ya bunge?Katika kikao cha leo asubuhi bungeni, katika kipindi kiliobakia kurushwa " live" nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao, naomba wana bodi, moderators wanisaidie.
Katika majira kati ya saa nne na dakika thelathini mpaka na dakika thelathini na sita ( 10:30-10:36) Wabunge wawili wa chama tawala wa jinsia tofauti walipojitanua. Sasa sijui niliangalia kwa makengeza au sawa, naomba nisaidieni.
Ikiwa nilichokiona ni sahihi, basi kitendawili cha siri ya bunge kukataa kuoneshwa " live" kimeteguliwa
"nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao" nimetoa wakati lilipotokea, kama moderators wataona hilo halikalifu sheria, hapo ndipo hoja ya kusema hujaeleweka linasimamasema nini kimetokea, bila kutaja jina . hujaeleweka
Katika kikao cha leo asubuhi bungeni, katika kipindi kiliobakia kurushwa " live" nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao, naomba wana bodi, moderators wanisaidie.
Katika majira kati ya saa nne na dakika thelathini mpaka na dakika thelathini na sita ( 10:30-10:36) Wabunge wawili wa chama tawala wa jinsia tofauti walipojitanua. Sasa sijui niliangalia kwa makengeza au sawa, naomba nisaidieni.
Ikiwa nilichokiona ni sahihi, basi kitendawili cha siri ya bunge kukataa kuoneshwa " live" kimeteguliwa
Leo asubuhi kipindi cha maswali " live" kiliisha saa nne na dakika thelathini na sita.Na nimeangalia kupitia Azama TV (TWO)Live wanaonesha kuanzia saa tatu hadi saa nne. We hiyo saa nne na nusu umeona kupitia wapi?
We weka bana sio kosa"nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao" nimetoa wakati lilipotokea, kama moderators wataona hilo halikalifu sheria, hapo ndipo hoja ya kusema hujaeleweka linasimama
Weka picha .. I mean picha ya maneno elezea vizuri wamejitanuaje? Wameacha sukari wazi wazi nje nje au?
Wakati Wazungu wakihangaika kila kukicha kufanya TAFITI mbalimbali na UBUNIFU unaoendana na kasi ya dunia kwa sasa sisi Watanzania tunahangaika kuzungumzia " utupu " wa Watu na kufanya ndiyo kipaumbele chetu. Sijui Kwanini Nyerere aliwafukuza Wazungu ( Wakoloni ) kwani labda wangeendelea kuwepo / kubaki wengi wetu tusingekuwa tuna fikra za " hovyo hovyo " hivi.
"hovyohovyo" wakati Lewinsky na Clinton walipo umbuliwa kule USA, "wazungu wafanya utafiti na ubunifu mbali mbali" walikwenda likizo? au walioyazua hayo walikuwa waswahili?Think positive!Wakati Wazungu wakihangaika kila kukicha kufanya TAFITI mbalimbali na UBUNIFU unaoendana na kasi ya dunia kwa sasa sisi Watanzania tunahangaika kuzungumzia " utupu " wa Watu na kufanya ndiyo kipaumbele chetu. Sijui Kwanini Nyerere aliwafukuza Wazungu ( Wakoloni ) kwani labda wangeendelea kuwepo / kubaki wengi wetu tusingekuwa tuna fikra za " hovyo hovyo " hivi.
Kwa hiyo hai wabunge walikuwa wakifanya mambo ya kina Bill na Monica?"hovyohovyo" wakati Lewinsky na Clinton walipo umbuliwa kule USA, "wazungu wafanya utafiti na ubunifu mbali mbali" walikwenda likizo? au walioyazua hayo walikuwa waswahili?Think positive!
Naona JF haijakusaidia.Wakati Wazungu wakihangaika kila kukicha kufanya TAFITI mbalimbali na UBUNIFU unaoendana na kasi ya dunia kwa sasa sisi Watanzania tunahangaika kuzungumzia " utupu " wa Watu na kufanya ndiyo kipaumbele chetu. Sijui Kwanini Nyerere aliwafukuza Wazungu ( Wakoloni ) kwani labda wangeendelea kuwepo / kubaki wengi wetu tusingekuwa tuna fikra za " hovyo hovyo " hivi.
Leo walipitiliza, hili ninamsaidia lakini sikuwa makini na kinachoendelea maana hawana jipyaLive wanaonesha kuanzia saa tatu hadi saa nne. We hiyo saa nne na nusu umeona kupitia wapi?