Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

Nilipo bold i think you have a point there, Mwenyezi Mungu akiona taifa linataka kutenganishwa na kitu fulani anaweza kufanya maajabu yeyote ya kuwafanya muwe pamoja au mkutane.

Tukio hili la kuwa na vifo toka pande mbili sisi binadamu tunaweza kuliona limetokea accidentally lakini kwa Mungu linaweza kuwa accidentally on purpose.

Nimependa mawazo haya Wakuu, haswa kwa kuwa yanamaanisha kudumisha umoja wa Taifa letu kiukweli siyo kama chama kinachoimba wimbo huo lakini kinafanya kinyume chake. Mungu huwasiliana na watu wake kupitia njia nyingi sana jinsi atakavyo, na haswa wale anaowajua kuwa ni watu wake wanaomkumbuka kila mara. Hapa kila aliyetangazia wananchi wa Tanzania kuwa cdm kuna udini itabidi azubae. Wapo walioyazungumzia kwenye majukwaa makubwa sana. Kipindi hiki cha msiba huu kitamaanisha mambo mengi kwa Taifa. Mungu ibariki Tanzania.
 
164136_1810170740346_1422307283_32028089_2332556_n.jpg


Safi sana ..... ....
 
Leo nimegundua kuwa Polisi ndiyo huwa chanzo cha vurugu katika mikusanyiko ya Kisiasa namna hii hasa pale wanapotaka kuwatisha raia. Leo Ujumbe umewafikia watawala kuwa siku zao zinahesabika whene they bow to the pressure of the new cionstitution and new NEC, ndipo utakuwa mwisho wao. Lets keep pressurising them hadi wakubali matakwa ya umma.

QUOTE]


Martin Luther King Jr alishasema kuwa Polisi wanaujuzi wote na mbinu zote za kupambana na ghasia inapokuwa imetokea na kwamba kwenye fujo huwa wanafanikiwa sana. Hata hivyo wanapopambana na mazingira mbayo hayana fujo (non violent) huwa wanashindwa cha kufanya. Hicho ndicho kilichotokea Arusha trh 5 ... Hakukuwa na fujo. Wakagwaya. matokeo yake wakapiga risasi ovyo wakaua.
Kiboko ya polisi ... ni maandamano ya amani.
 
Mashujaa wetu, pumzikeni kwa amani ya milele.

Na sisi vijana wenzenu kwa kazi ya mabadiliko ya kweli mliotuachia Tanzania kamwe hatutowaangusha mpaka kieleweke!! Kwa uweza wa Mwenyezi Mungu tutashinda vita dhidi ya serikali ya wauaji, dhalimu na mafisadi. Kwa thamani ya damu yenu, Wakristo kwa Waislamu tumepata kuunganishwa kwa pamoja zaidi kama taifa moja; Mauaji ya CCM Pemba, Unguja, Shinyanga na Arusha.

Our prayers are with your and your families.
 
Na kama Bwana aishivyo, damu iliyo mwagika ya watu wasio na hatia hakika haitapotea bure! Damu hiyo inamlilia Bwana naye atajibu! MUNGU si binadamu hata aseme uongo!
 
Ni mwendawazimu tu anayeweza akapingana na UHALISIA UNAOONEKANA KWENYE PICHA HIZI.
Hakika HISTORIA MPYA IMEANDIKWA LEO KATIKA JIJI LA ARUSHA.

CCM HAWATAWEZA KUIFUTA MILELE. HATA MUNGU AMEIWEKA KWENYE KUMBUKUMBU ZAKE.

KIKWETE,MAKAMBA,NAHODHA,MWEMA,PINDA,ADENGENYE,CHITANDA GET PREPARED TO GIVE AN ACCOUNT BEFORE GOD ON THE DAY OF JUDGEMENT!!!
 
igp mwema umetumiwa kuuwa wananchi wako na walipa kodi wako wanaokulipa mshahara nasi wananchi wako tunalaani kitendo icho na kama pinda nae mtoto wa mkulima anatuhumiwa kwa roho mbaya yake basi mungu yu nasi atalipa hapahapa,mwem na nahodha mnafanya nini madaraka hamjajiuzuru na nyie haki yenu ocampo anawasubiri the heg.
 
Naamini kila mwaka ambapo zanziabar watakuwa wakisheherekea mapinduzi ya kamand john okelo,sisi huku tanganyika,siku an tarehe hiyo hiyo tutakuwa tukikumbuka mashujaa wetu walioagwa leo
 
Naam, mazishi ya Ismail omar yalifanuika saa 1.30 usiku,makaburi yalikuwa mbali na home tope na kukatiza ndani ya vijaluba vya mpunga vilivyojaa maji. Hivyo wazee Kama ndesa, Slaa, na Mtei hawakwenda makaburini

safari ya kurudi barabara kuu USA ilianza saa 2.42 usiku. Wengine waliendelea na msafara hadi moshi na wengine wakirudi arusha.

Nimechoka mno lakini sipati usingizi kwa sababu ya furaha ambayo hakuna maneno ya kuelezea. Sasa hivi ni saa 5.33 usiku. Kesho nitapost baadhi ya picha. G9t
 
Karibu sana Mr Ocampo kwetu TZ!
Truly, Ocampo is welcomed to this 'island of peace'. How comes a soldier recruited by us through the tax we pay through our noses, trained by us, dressed by us, paid by us and armed by us - use the very firearm we gave him/her to protect us to kill and maim us with impunity?
Should Ocampo come, Kikwete must stand accused number one for ordering and condoning such brutal actions against the very people who pays him and his family salary and other emoluments. Shame to Kikwete, Makamba, IGP Mwema who has so far proved to be very,very unprofessional. Shame to CCM and all its members. Shame to TISS - who have ceased to be the national security organ to become CCM security organ. We vehemently condemn you with all associated organizations who use our tax to work for CCM! God bless CHADEMA, God bless Tanzania. A luta Continua.
 
Naambiwa hakuna nzi, kuku, kunguru wala sisimizi aliye kanyagwa mambo yote yameenda kwa amani na hakukuwa na mapolisi
 
Picha ya mazishi ya wafia demokrasia wa Arusha yanaudhihirishia ulimwengu kuwa Chadema siyo chama cha kidini. Waliouwawa kwa ajili ya demokrasia ni watu kutoka dini ya Kiislam na Kikristo. Kwa hiyo viongozi wa dini wasidanganywe na wanasiasa kwamba kuna udini ndani ya chadema. Viongozi wote wa dini hapa nchini waungane kuipinga CCM na serikali ya Kikwete kwa unyama huu mkubwa wa kumwaga damu isiyo na hatia(Haogwa)

167717_1673406368783_1646147558_1560841_1969257_n.jpg


MSIBA: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar ambaye alifariki januari 5 mwaka huu kwa kupigwa risasi na polisi akiwa katika maandamano ya CHADEMA mjini Arusha. Marehemu alizikwa leo Usa river baada ya kuagwa viwanja vya NMC mjini Arusha.

More photos:

mashujaa4.jpg


23wkx7a.jpg

mashujaa23.jpg

mashujaa20.jpg

28bha9l.jpg

cimg4526.jpg
[/QUOTE]
 
Naam, mazishi ya Ismail omar yalifanuika saa 1.30 usiku,makaburi yalikuwa mbali na home tope na kukatiza ndani ya vijaluba vya mpunga vilivyojaa maji. Hivyo wazee Kama ndesa, Slaa, na Mtei hawakwenda makaburini

safari ya kurudi barabara kuu USA ilianza saa 2.42 usiku. Wengine waliendelea na msafara hadi moshi na wengine wakirudi arusha.

Nimechoka mno lakini sipati usingizi kwa sababu ya furaha ambayo hakuna maneno ya kuelezea. Sasa hivi ni saa 5.33 usiku. Kesho nitapost baadhi ya picha. G9t


Thanks for all you have done mate.
 
Back
Top Bottom