Yaliyo nikuta kwenye daladala

Last edited by a moderator:
daladala zina mambo sana.asante kwa kushare na sisi hilo jambo maana mzee huyo alimpa makavu dada duu aliyedhani atapewa support na wengine.akomeeee!!!
 
Yaan huyu aloleta haki sawa kakomesha kweli unamkuta dada anakutukana maneno mabaya wengine hatujui mineno bas ukimgusa tu utauza had kaptula,lenyewe lakwanza police na likifika huko bas mwanaume hatakama wewe nimwenye haki inakua mtihani da natamani kushuka na listor wacha tu kwakua bado lipo mahakaman, ila hawawatu wamepewa uhuru mno na vimaneno vya ku pest kwa MIGOMBA ni taab mtaani
 

Pole kwa kupigwa!
 



kwa kweli yule binti alinichefua sana kijana wangu ila kwa mashambulizi yale hakika hatarudia tena kokote aendako

pole sana kijana wangu ila nq wewe tabia yakuchungulia simu za watu sio tabia njema hata kidogo
 
Hahahaha ahsante kwa hili promo. Linanisaidia sana kule PM. Kuna mchuchu nshauambia ntaupeleka Nigeria kwenye show ya Davido.

Nadhani atakuwa Mtambuzi au KakaKiiza. Mijamaa ni mibazazi sijapata kuona.

Ha ha haaaa! Hapo umegusa ikulu..
^^
 
Last edited by a moderator:
hahahhahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa babu jamani

nakuja kuchukua gawio langu nawe walikupa zile za tegeta es........... ni hizo babu au?
Njoo basi nikugawiemu hutu tupensheni kabla hatujaisha!!! Si unajua nakuzimiaga wakati ule nikiwa bado hendisamu!!!
 
Waniita babu wataka kuninyima nini lkn ladyfurahia ? Sio escrow, Ni FAO la uzeeni tu. Mvi tu ndio zinaonesha uzee ila kwingine koote mimi ni kijana wa miaka 26.
hahahhahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa babu jamani

nakuja kuchukua gawio langu nawe walikupa zile za tegeta es........... ni hizo babu au?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…