Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
am i the only one in the dark here?
Umesomeka Bigbrotherhahaaa siku hizi kimya kimya mkuu
Yep waliyakimbia baada yakuona yanapoteza umakini !!!!!kwani yaliacha mkuu? Yapo mengi tu sema watu walikimbia tu baada ya kua kuna mambo megine
kwani yaliacha mkuu? Yapo mengi tu sema watu walikimbia tu baada ya kua kuna mambo megine
Mambo ya BASI LETU ngoja wasitishe safari za usiku uone vurugu za kuomba lift.
kwani si walishasitisha safari za usiku au ni kwangu tu?
Mambo ya BASI LETU ngoja wasitishe safari za usiku uone vurugu za kuomba lift.
Wamehamisha Kituo sasa kipo Mbezi ya shamba!!!kwani si walishasitisha safari za usiku au ni kwangu tu?
Wakuu katika kupekua pekua nimegundua yale madude yetu bado yanakubalika, nimepata moja iliyo stable kusurf na kustream youtube but haisupport download. Haya wazee wa ngoma za kizamani wani PM tushare
Nilijua tu lazima utaibukia huku ili kutetea mkate wako maana hawa jamaa wanakutia jambajamba.baadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa
nunua.. Nokia tochi mkuu..