Yako wapo mapenzi?

Tatizo majukumu ndugu yangu. Mkishakuwa na watoto akili haifanyi kazi sawa sawa. Lots of stress, watoto watakula nini? Watasoma wapi? Nyumba tutamaliza lini? Basi hata mkisema leo tutoke tukastarehe hotel, bado mnaweza mkawa huko badala ya kuongelea mapenzi mnaendeleza mijadala ya majukumu. Tulipokuwa wawili, japo kipato kilikuwa kidogo majukumu yalikuwa hamna. By the time mmepata pesa sasa mseto, wanga wameshaingilia penzi siku nyiiingi. Kwa kweli ulichoandika ni challenge. Na nina-connect na usemi usemao, where there is no money there is no love na mwingine unaopingana, when money comes through the door love escapes through te window. Nashindwa niamini upi, nazidi kuchanganyikiwa.
 
Maswali laki tisa. Lol!
Majibu yake mengi siye.
Ngoja nichukue hatua.
 
Mapenzi yanaendaga likizo nayo!Ni kiasi cha kuyafuata na kuyarudisha kama umeyamiss!
 
nyumba kubwa umenikumbusha rafiki/ndugu yangu anayemlalamikia love wake kuwa siku hizi anamghasi. Hawako pamoja kutokana na majukumu ya kimaisha. Bibie anasoma mkoa mwingine na yuko na mtoto mdogo huko. Sasa jamaa anajipinda kutuma matumizi ila inafika wakati mama anataka jamaa aende huko ama amfuate huku ku 'quench thirsty'. Jamaa akifikiria gharama za kumfuata au mama kumfuata jamaa, kichwa kinamuuma. Wakati ule walikuwa wawili tu ila sasa wako zaidi na kipato ni kile kile. Sasa mama akikumbuka ile gud time enzi hizo anaona kama anabaniwa
 
yaani thread yako imeniliza..........!!! its true some times true love inapotea bila sababu yeyote but nimegundua kitu mara nyingi it is coz of ndugu/ wapambe!!!

but i still believe no one can separate two true lovers!!! mtafanya yooote ya kutusambaratisha lakini our love will prosper..........time will tell.........
 
sorry and thanks for that, fellow. It's some kind of experience that touches nearly every one
 
Tatizo ya mapenzi kupungu linakuwa kubwa zaidi pale mmoja wa wanandoa anapoanza blaming. Mostly men are blaming their wives and try to find love somewhere else instead of working out the source of the problme. But these days women also are fighting back by having secret affairs. Mi nadhani suluu ni kukubali kwamba kwenye marriage kuna ups and downs, uku-ku-demand kupata masham sham kama wakati wa uchumba lazima utatafuta replacement. Hata wadhungu tunaowaona kutwa wamekumbatiana tusifikiri ndo mambo yao ya marital ni tambarare, kukumbatiana kwao ni culture, unaweza kuta wanakumbatiana mitaani lakini sex once a month.
 
Una akili sana wewe! yaani ndio hivihivi inatia kero sana na hasira, cha muhimu wanandoa ni kukaa chini na kujadili wapi walikosea na kuweka mambo sawa
 
NAKUJIBU KIRAHISI KAMA IFUATAVYOOOO....

1. Kwanza mke au mume sio damu moja( A WIFE AND A HUSBAND EREN'T BLOOD RELATED) ni marafiki tu....So waweza achana muda wowote... Tatizo letu Wa AFRICA...hupenda kinafiki, Mwishowe inakula kwetu.

2. Fikiria tangu umeanza na mkeo mlipendana kwa dhati..!!!kama ni dhati kweli mlimshirikisha MWEZA WA YOTE..(MUNGU BABA)... KAMA KWELI MLIMSHIRIKISHA MWEZA WA YOTE....ndugu walibarikiii.. PANDE ZOOOTEEE.. Kama yote hayo shwariiii vumilieni vikwazo...vitaisha.
 
dah mkuu yaani wacha tu penzi likiisha,revenge huwa zinafuata.nimelazwa polisi kwa mara ya kwanza na yule tuliyependana.sitasahau
 
Back
Top Bottom