Inamaana akina zitto hawaioni hii watujuze ata kidogo!
Ila inawezekana ata kikao kuvunjika kwani chadema sio malaika inawezekana kupishana ila uzuri wanabusara kwenye maamuzi.
Namjua Zitto anakiburi lakini hana msimamo. Hajawai ata kuoa anataka uraisi hujaongoza ata familia anataka nchi.
huyo zitto wamfukuze aende kwenye chama chao cha waislam hiki ni chama chetu wakristo.
Nilikuwa sijasain in, nimeona nisain nikujibu. Umenichekesha unavymsema Zitto eti hajawahi kuoa, kwa msingi huo hawezi kuongoza nchi. Duuu hata wewe, hivi kuongoza kunahitaji experience inayofananishwa Na familia tena ya mke Na MUME Na watoto. Hivi Zitto haongozi jimbo? Si Kiongozi wa CHADEMA? Anyway anaweza akawa haongozi mke Na watoto lakini anaiongoza familia aliyozaliwa pale tabata. Unaweza ukawa umeoa lakini ushindwe kuiongoza hiyo familia. Umenichekesha sana kweli sometimes I do not know huwa tunafikiri vipi. Hivi kwanini Zitto asiwe raisi? Slaa tukiangalia upande wa familia I can say ilimshinda ndomaana walitengana Na mkewe, ila huyo mwaona ni raisi bora. Anyway ni kawaida kwa wabongo kuwa Na double standards.
ritz kikao kilikuwa na mambo mengi ya kujadili. Kuna ile ahadi aliyotupa Dr. Slaa hapa kwamba kamati zitaketi na kutuambia ni nini waliongea na Rais baada ya mikutano yao miwili. Hii taarifa haijawahi kutoka na ni matumaini yangu kuwa sasa itatolewa. Pili tukiambiwa kuna Kamati inachambua wajumbe wa Tume ya katiba na CDM itatoa taarifa; nadhani hili nalo litatolewa taarifa kwa umma. Na sasa hili la uwajibikaji wa serikali ambalo naona Zitto amejinyakulia nukta nyingi na kuna watu walitamani liwe la kichama zaidi na liwakilishwe na KUB lakini naibu KUB si kwa hicho cheo bali kama mbunge akatumia Ubunge wake kulisimamia. Hili limempandisha Zitto kwenye chati givyo itabidi na wengine waje na single zao. Kumbuka Zitto alipokuja na hoja ya posho mwingine akaja na hoja ya kukataa gari la KUB. Timing tu hapa.
huyo zitto wamfukuze aende kwenye chama chao cha waislam hiki ni chama chetu wakristo.
Kikao chao kimevunjika Slaa na Zito wamepishana kauli na kurushiana maneno makali
kuna mama mmoja alikuwa demu wangu nika muacha kwa maneno kama haya..sijui ndiyo wewe?
Wakuu kweli kabisa CDM imefanya kikao lakini hakuna hata chembe ya habari toka huko ndani? Sijui habari za Botilo lakini hili la kutaka taarifa ya jinsi wabunge walivyoisimamia serikali ili hali kuna mchakato wa kutaka kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na PM kidogo nilishtuka.
Botilo ni kama mama shangingi. Umbea usiovumilika. Kwa taarifa yako mimi ni mjumbe wa kikao kile, hayo yako sijui umeyapata wapi? Labla unauliza. Sina mamlaka ya kutoa maazimio ya kikao kwenye media, ila mengi ni siri sidhani kama wahusika watatoa yote.
Umaarufu wa Zitto unawasumbua Marais wa CDM.
Wakuu kweli kabisa CDM imefanya kikao lakini hakuna hata chembe ya habari toka huko ndani? Sijui habari za Botilo lakini hili la kutaka taarifa ya jinsi wabunge walivyoisimamia serikali ili hali kuna mchakato wa kutaka kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na PM kidogo nilishtuka.
mbona magamba mnapenda kujua nini kilitokea? CDM siyo CCM. CCM kila kikao wanachofanya kuna mwakilishi wa CDM.
CDM kuweni wawazi, Nape alitoa maazimio ya CC ya CCM mara baada ya kikao kwisha. Igeni mazuri ya CCM
Mwita hizo kauli zangu unadhani hazina ukweli ndani yake? Najua wewe unajua ila huwezi kusema hapa jamvini. nita pmKimbunga,
Pamoja na heshima zote nzokupa lakini kadri siku zinavyokwenda ninaanza kuona rangi yako halisi.
Sidhani kama unapigana vita ya mageuzi, unadhihirisha uko upande wa pili lakini unajitahidi sana kung'ata na kupuliza.
Huyu botilo nahisi naye aliekewa kichwa cha nazi....
Mwita hizo kauli zangu unadhani hazina ukweli ndani yake? Najua wewe unajua ila huwezi kusema hapa jamvini. nita pm