Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 28, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naomba mwenye maazimio ya kikao cha chadema anijulishe tafadhali
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mnyika nadhani atakuja nayo kama yakikamilika.
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kikao chao kimevunjika Slaa na Zito wamepishana kauli na kurushiana maneno makali
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Botilo unaumwa na pepopunda!
   
 5. Ishina

  Ishina Senior Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona leo umezidisha kiwango cha bia unazokunywa kwa siku.
   
 6. M

  Muggssy Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Weka source Mkuu tusifanye assumptions au na wewe ni gamba maana naskia posho ya magamba imeongezeka wanaofanya kazi humu janvin
   
 7. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yaleyale ya CUF, Mambo ya Hamad na maalim seif hayo mnayaanzisha!. angalieni msivuruge imani ya waTZ kwa chama chenu.
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hoja ya zito kumtk wzr mkuu kujiuzulu haikuwa na baraka za chama zito alkw anahoji mamlaka ya Slaa kudai hayo more updates soon kuna kichwa kule ndani ndo kimenibonyezea hii kwanza
   
 9. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Je source yako ni reliable?
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  kuna mama mmoja alikuwa demu wangu nika muacha kwa maneno kama haya..sijui ndiyo wewe?
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  itakuwa degedege kabisa kama sio polio
   
 12. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,643
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ogapa kusema uongo,
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  halafu andika vizuri hapa siyo facebook...mtacheza ngoma ya chadema sana tu
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  hivi huwezi ukachangia bila kupotosha?
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  CDM ni chama makini, usitarajie hayo kutokea.
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kama mi mwongo subirini na make kitako kusikia mtokoto uliotokea sijui mtakimbilia wapi mpasuko upo mkubwa tuu!tuache ushabiki hali si nzuri baada ya kikao kuvunjika
   
 17. D

  Determine JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  polio ndo standard kwa huyu. Degedege ni kumpunja.
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Wakuu kweli kabisa CDM imefanya kikao lakini hakuna hata chembe ya habari toka huko ndani? Sijui habari za Botilo lakini hili la kutaka taarifa ya jinsi wabunge walivyoisimamia serikali ili hali kuna mchakato wa kutaka kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na PM kidogo nilishtuka.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Wala sikushangai manake kuchakachua jadi yenu thithiemu!!!!
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  naenda lima shamba langu, mkiwa tayari ntaenda vuna,
  yaleyale ya NCCR Tanga1 mrema kujificha chini ya meza
   
Loading...