Yakienda majina matatu, hatoboi

Yakienda majina matatu, hatoboi

Baba wa kambo si alishasema wagombea tunao? Afu na yenyewe yanashangilia japo sio kiviiile najua msafara wa mamba na kenge wamo hiyo hali ilishangiliwa na kenge ila naimani kama kulikuwa na mamba ndani yake walibaki wanajiuliza ni basi tu watafanyaje sasa wakipinga watakula wapi
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Anaweza akatoboa!! Tatizo pale juu hakuna wenye hekima! Kuna wahuni!

Hii ni mara ya tatu JK chama kinataka kumfia mikononi mwake
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Wakileta jina la Kichaka na jina lake, kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini, jina la Kichaka ndilo litakalopita kirahisi.
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
We ni kichaa wa siku zote, hayo majina yapeleke wewe. We nyumbu mmeshakimbia uchaguzi tulizeni makalio nyie mapoyoyo mambo ya CCM waachieni wenyewe, CCM ina wenyewe, Polepole ni garasa tu lililookotwa na Magu
 
Back
Top Bottom