sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Nataka niandike maaandishi kama haya kwa kiswahili. Nifundishe umefanyaje
View attachment 40665
View attachment 40666
Slow loading ya pc inategemeana na mambo mengi mkuu..mfano programs ulizonazo, uwiano wa uwezo wa processor na RAM yako, browser unayotumia (mfano mozilla ina haya maujinga sana), extensions na add-ons ulizoinstall kwenye hiyo browser na mengine mengi tu..cha msingi make sure huinstall programm nyiingi ambazo hata huzitumiii kwenye pc yako...acha zile zilizo na umuhim kwako...maana mi nlishawahi kukutana na mtu kila program anayoiona anataka kuweka na yeye...pc ikawa kama adhabu sasa...kuwaka tu inatumia 10 mins...!!Mkuu mtalaam, mimi mini laptop yangu inachelewa kufungua internet na inakuwa inaandika 'not responding', nikiweka moderm inashika kwa shida sana. halafu nimeambiwa naweza kuongeza RAM maana ina 500. nisaidie kuongeza RAM hata kama ni ya kununua
Nataka niandike maaandishi kama haya kwa kiswahili. Nifundishe umefanyaje
View attachment 40665
View attachment 40666
Haahha kumbe, I ddnt knw this
If you think you need to, why shouldn't you change?why should i need to change the name of my recycle bin???? KHA?