Yajue matumizi ya bibo na korosho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yajue matumizi ya bibo na korosho

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Oct 6, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wakati sisi tuko bize na korosho kumbe bibo laweza tumika kutengenezea pombe!
  Brazil wao wako bize na bibo sisi tuko bize na korosho!
  Nimeamini Tz can move if we are determined!
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata mkonge. Mexico wanatumia mkonge/katani kutengenza tequila. Kinywaji safi sana.
   
Loading...