Kama kuna tukio nyumbani kwako au kwa jirani wa karibu, mfano harusi, msiba au sherehe yoyote wajulishe, wakistukia tu watu nyomi, mziki huo au vilio wanasepa wote. Kuna bibi mmoja aliwafuga wengi na kuwapa taarifa kama kuna tukio nyumbani kwake au kwa majirani, sasa alifiwa na mwanae wa Dar kutokana na uchungu akasahau kuwaambia, siku ya msiba hawakutoka ila siku ya pili alikuta banda tupu. Afu sijui huwa wanaenda wapi maana hupotea tu.
π€£Kama kuna tukio nyumbani kwako au kwa jirani wa karibu, mfano harusi, msiba au sherehe yoyote wajulishe, wakistukia tu watu nyomi, mziki huo au vilio wanasepa wote. Kuna bibi mmoja aliwafuga wengi na kuwapa taarifa kama kuna tukio nyumbani kwake au kwa majirani, sasa alifiwa na mwanae wa Dar kutokana na uchungu akasahau kuwaambia, siku ya msiba hawakutoka ila siku ya pili alikuta banda tupu. Afu sijui huwa wanaenda wapi maana hupotea tu.
DuKama kuna tukio nyumbani kwako au kwa jirani wa karibu, mfano harusi, msiba au sherehe yoyote wajulishe, wakistukia tu watu nyomi, mziki huo au vilio wanasepa wote. Kuna bibi mmoja aliwafuga wengi na kuwapa taarifa kama kuna tukio nyumbani kwake au kwa majirani, sasa alifiwa na mwanae wa Dar kutokana na uchungu akasahau kuwaambia, siku ya msiba hawakutoka ila siku ya pili alikuta banda tupu. Afu sijui huwa wanaenda wapi maana hupotea tu.
duhWana maringo sana.
Siwawezi bora niendelee na mapaka yangu..roho ngumu hata ukimchinja ng'ombe mbele yao wanabaki.
dunh noma sana kwa hiyo njiawa wanadeka kuliko wanawake wajawazito
*nasikia hata ukinyoa kiduku wanaondoka, ukivaa jezi ya arsenal ndo wanabeba na kibanda kabisa
DuuuuhNyongeza:
Hawapendi kusikia sauti za mahaba/za kubanjuana toka kwa binadamu.
Inashauriwa kuweka banda lao mbali na vyumba vya watu wazima ambao daily wanagegedana tena kavukavu.
Usipofanya hivyo njiwa watatomb@n@ sana na kushindwa kupata muda wa kula na hatimaye kufa wote kwa njaa!!
Naiskiaga hii tu toka kitambo mkuu, kumbe kuna zaidi ya hii ya kujulishwa msiba ingawa mimi nilisikia kuwa usipowajulisha msiba wanazira kula! Si kuondokaKama kuna tukio nyumbani kwako au kwa jirani wa karibu, mfano harusi, msiba au sherehe yoyote wajulishe, wakistukia tu watu nyomi, mziki huo au vilio wanasepa wote. Kuna bibi mmoja aliwafuga wengi na kuwapa taarifa kama kuna tukio nyumbani kwake au kwa majirani, sasa alifiwa na mwanae wa Dar kutokana na uchungu akasahau kuwaambia, siku ya msiba hawakutoka ila siku ya pili alikuta banda tupu. Afu sijui huwa wanaenda wapi maana hupotea tu.
Wanasepa mkuu, huyu bibi mpaka Leo hana hata mmoja nae aliziraNaiskiaga hii tu toka kitambo mkuu, kumbe kuna zaidi ya hii ya kujulishwa msiba ingawa mimi nilisikia kuwa usipowajulisha msiba wanazira kula! Si kuondoka