Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

Ni ukweli kwamba watu wenye majini/mapepo huchukia sana dhambi na pia husali sana?
 
Ndio baadhi yao huwa hivyo lakini Mara nyingi majini hao huwa ni wanafiki kwa sababu hawamuweki mtakatifu moja kwa moja na kuanza kumvuruga tu kichwa baadae akishawaamini na kuishia kumpa ahadi nyingi nyingi mtu zisizo timia wapo ambao ni wa kweli lakini wengi wao ni walaghai tu, huwatokea watu ndotoni na kujifanya watakatifu na baadae huanza kuwafundisha vitu visivyo na faida,

Rakims
 
fobia (phobia) kisayansi hutokana na mpangilio mbaya wa kikemikali katika ubongo ,ambao huwa ni taarifa zinazorithiwa ndani ya DNA ,paka wa nyumbani huwa wapole kutokana na hii,ila jaribu kachukue paka shume umlee kwa mapenzi akikua atakuzingua ,sasa unakuta kuna mambo yaliikuta koo yake huko nyuma yakabaki kwenye dna ,ndo maana wanasema madhara ya vita huisha miaka 200 toka ipigwe kwa wastani ni pamoja na hii,tiba sahihi zipo ni kumtrain mgonjwa kwa mbinu za kisaikolojia anapona kabisa hakuna jini lolote mkuu .ila kwa tanzania katika tiba adimu ni tiba za ukichaa ,kwa wastani kati ya watanzania watano .watatu ni vichaa ,ila tafsiri ya huku ni mpaka aokote makopo ,mfano trump na magu wanaugonjwa huu hapa ambao ni kichaa na unatibika
 
mkuu sikuwa na maana kuwa kila mwenye kichaa ana kuwa kakumbwa na majini hapana
 
Back
Top Bottom