Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

Tiba ni Mwenyezi Mungu tu.
Hakuna kiumbe anaekataa hilo japo mtu unatakiwa kutumia dawa kwa kumtegemea Mungu akusaidie usijibu dry kama vile mtu aliyekosa uelekeo wa mawazo.
kwa maana hata mitume pia walitumia madawa kwenye maradhi kwa kumtegemea Mungu na wakapona.
Sasa na wewe badala ya kuomba Mungu akushushie Panadol kutoka mbinguni jitahidi kumuomba akili ya kukufanya uweze kujua kutengeneza Panadol ili uepukane na ujinga.
 
Back
Top Bottom