He is always calm and incredibly kind avoiding conflicts be careful

Kisesetusese

Senior Member
Sep 12, 2022
173
242
Unapokuwa kazini au popote ukakutana na mtu wa aina hii. Mpole, mwema na
Hapend magonvi...kuwa makini naye au kaa mbali naye. Huwa hapendi kelele, anaji smile tu ili mradi....watu hawa ni hatari sana.

Anakuwa mpole kwa sababu hapendi fujo

Anakuwa mwema kwa sababu ..akifanya tukio linakuwa baya na la Majuto...hapendi ugomvi kw sababu akiingia kwenye uhomvi ni aidha polisi au vyombo vya dola vihusike
 
IMG-20240305-WA0129.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom