Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

Habar mkuu Rakims
Hapa kwa dunia panawatu wanashida Sana'a aisee
Haya magonjwa ya kiroho ni shida sana.
Binafsi ni muhanga.
Mkuu Rakims unapatikana wapi wewe?? Na bei zako zikoje??

Kijana wako hapa kutoka Dodoma.

Rakims
 
Wewe roho yako inampenda Mungu hata kama hujamrudia .Una connection Na Mungu ila dhambi zako zinakutenga nae.Hicho kilio unakiangua ni sabbu unakuwa umemtafakari Mungu (sisi wakristo tunasem ku meditate in the spirit ) .Wewe ukisikia nyimbo za kuabudu za Dini Yetu zile za kumzamisha mtu rohoni zaidi Na kum tafakari Mungu zaidi utalia mpaka kamasi nakwambia.My advice is mrudie Mungu wako kabla hakakuvuta kinguvu Kwa Kiboko .(It will be best if you turn to Christian ila ni siende huko Kwa sasa).Anzia tu kutend mema huko ulipo kwanza then Mungu atajua vile atavyokushughulikia.Last,achana na Rakim maana huyo ana asili ya uchawi .Ni mtu wa kiroho lakini anacheza kweny ulimwengu wa Giza hivyo usiuliz ushauri kwake he won’t help you sana sana atakushauri vitu that will connect you to mizimu yake .Thanks .
Habari mkuu,
Tofauti na username ya jamii forum unanifahamu?

Rakims
 
Sihitaji kukujua personally,maandishi yako tu tells who you are .Waganga wa kienyeji huwa hamlipendi jina la mchawi but truth is wewe ni mchawi .Unatoa dawa Kwa watu za asili za kujitibia kurogwa huo ni nini kama sio uchawi ?kuna aina mbili tu mtu anaweza ku deal Na mambo ya kiroho .either Kwa nguvu za Mungu Au nguvu za shetani full stop Na hakuna nguvu ya Mungu inawapa watu tiba za asili maana nguvu ya Mungu ni maombi tu .We Na uchawi wako unawadanganya watu kuwa unawapa tiba eti Na maombi eish .Tangu lini Nuru Na Giza vikakaa sehemu moja .???Wachawi comes in different ways.Wengine wale wa kizungu wanajiita psychics wengine paranormal survivors wengine card readers ila wote ni uchafu ule ule kazi yenu ni kuroga hakuna jingine .Jiite mnajimu,msoma nyota,darueshi Au tiba za jadi ila wewe ni mchawi tu ,ebu tutokee kule Tangu lini shetani akatolewa Na shetani mwenzie ?hata Yesu alisema hilo ya kuwa akifanya hivyo ufalme wake utakuwa umefitinika .Na tu najua mnachofanyaga .Guys don’t get twisted huku mnaenda kuongezewa matatizo .shetani hatoi shetani mwenzie hata siku moja .ukitupiwa uchawi Au jini mganga anachofanya hatoi lile jini /uchawi uliotupiwa Sema anakutupia uchawi /jini mwingine mkubwa zaidi ili atulize yule wa kwanza .in time unakuwa Na majini mawili .kama yule jini ulotupiwa mara ya kwanza alikuwa anavuruga ndoa basi huyu jini mkubwa atamtuliza Na wewe utahisi umepona kwa muda (coz itabidi u renew) ila in time Na huyu mkubwa anaanza kufanya uharibifu mwingine kweny other areas .kama ni uchumi,afya itavurugwa Na hujui shida ni nini kumbe mikosi ilianzia ulivyoenda Kwa waganga .unatupiwa matatizo mengine ili urudi tena kesho umwabudu shetani Na hutakaa ukauke matatizo as long as unazidi kuongezewa uchawi Au majini Au Mapepo .na the more yanajaa kwako the more the problems . @Rakims acha kudanganya watu wewe kuhani wa ibilisi
Mkuu kaa kidogo ukiwa huwa matatizo yanayokusibu halafu usome tena ulichoandika, ndio ulidanganywa hivyo na wapumbavu wenzio baada ya pilika zako za huku na huku kutafuta maisha?

Rakims
 
ah, mie niko upande wa kenya
hapa matapeli kibao. naskia bei yako ni mtu kujitibu? nishajaribu mpaka hilo bila mafanikio

nina kadha ya dalili hizo, lakini sifi moyo kwani walokoniendea walionifwnya madhara inaprove kua wengine pia wako. kazi ni kuwapata. isipokuwa ni diligence kidogo ningekua nimejitoa uhai kitambo, mambo niliyofanyiwa yanavunja moyo

aliyesaidika na haya ya Rakims ajitokeze ihakikishwe
 
Seen
 
huyu jamaa nilikuwa nikifuatilia mada zake ila sikuwahi kujua anamalengo gani ila baada ya utafiti kuna kitu nikaja kugundua. kiufupi huwa sipendi kufuatilia maisha ya mtu asilimia kubwa katika utaftaji ila ningependa sana dini yangu ya uislamu ifikie mda baadhi ya watu waiheshimu na wasiigeuze dini kuwa kivuli cha ujambazi na utapeli hii ni hatari sana,

kuna watu lengo lao ni kutia watu hofu ili watumie madhaifu hayo kujiingizia kipato ambacho ni haramu na ni wizi kama wizi mwingine, kuna mtu wa aina hii nilishawahi kuwasiliana nae hatua kwa hatua na tulipoishia ni kutaka apewe pesa nyingi ili atibu tatzo ambalo amelitengeneza mwenyewe kwa kucheza na saikolojia ya mtu, mfano mtu anaweza kusema vitu ambavyo kibinadam humtokea kila mtu ila kwako akalitengeneza kama tatzo ilimradi tu kukuhadaa ili apate anachokitaka. mfano mara nyingi watu hawa hujua mtu mzima yoyote lazima atakauwa alishapita katika mahusiano mbalimbali hivyo anakwambia kuna mwanamke ulikuwa nae katika mahusiano ndio anakuroga, lengo lake ni kukuhadaa na kukutia hofu ili apate anachokitaka tu, ila chakuwashaurini ndugu zangu kuweni makini sana katika maisha yenu, NB simzungumzii mtoa post ila ninachopenda kuwaasa ni kuwa makini , mimi nilienda nae sawa ila kunakipengere niliona amenikosea sana aliponiambia njia nzangu za kipato zimefungwa inaonekana hata kula yangu nakula kwa shida, na hapo ndio kidogo nikastuka kidogo nakulaje kwa shida ninakaa kwangu nina usafiri wangu wanangu wanasoma shule nzuri alafu leo hii mjinga mmoja ananiambia ninakula kwa taabu?

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu, ikiwa nakukumbuka vema basi katika uchambuzi wangu nilianza kukuchambulia kwa uzuri na sio katika mipango yangu kuanzisha makala kama hizi ili kujiingizia kipato.
Kumbuka Jamii forums ni moja kati ya mitandao ya kijamii iliyojaa watu wenye hekima na wanaopenda kuzungumza kwa uwazi na pindi linapowafika tatizo kupitia mwana jamvi basi hutafuta njia ya kulijadili na kuwekwa wazi zaidi na kujulikana mbivu na mbichi.

Naweza kusema nipo mtandaoni tangu mwaka elfu 2003 na haikuwa jamii forums kipindi cha nyuma tulikuwa tukikutana na watu sehemu tofauti tofauti kama marafiki.com na parachat n.k
Enzi za 2g

2006 ndio ikawashwa jamii forums na pia sikujiunga humu nilikuwa nasoma watu mbalimbali hoja zao na elimu zao

2014 ndio niliingia rasmi Jf baada ya kuona kuna watu elimu zao zinahitaji brush na tangu hapo sijawahi kushiriki jukwaa zaidi ya hili la Jamii Intelligence.

Lengo lilikuwa ni mimi kuhusika na serious discussion & topics hadi kukaa humu na kuona watu wananikubali basi jua ni moja kati ya watu ambao hujielewa.

2015 nilihusishwa na scandal ya kutunga na mwanabodi mmoja aliyelipia elfu 2 kujiunga na group ya WhatsApp kwa ajili ya kujifunza meditation alikuwa anatumia jina la tahira la milembe.

Kufupisha maelezo:

2003-2021 nipo online

2003-2006 nimefanya huduma kwa watu si chini ya 500. Na details zangu ni zile zile sibadirishi

2014-2018 nimefanyia kazi na msaada wa watu wa Jf wasiopungua 1600PM

2018-2021 nimetizamia watu si chini ya 2000 online na details zangu zote zipo mtandaoni nao wangesema kwa uwazi kama niliwahi kufanya janja ya aina yoyote.

JIBU LA HOJA YAKO:

Yawezekana niliteleza katika lugha niliyotumia kukwambia lakini nahakika ulichokuwa unazungumzia ni maradhi ya aina ya tatu niliwahi kuyasema.

Rekebisho katika uelewa wako.

Niliposema "unakula kwa shida, sikumaanisha kula kana kwamba ni mtu ambaye vyakula vyako ni vya kuunganisha.
Hapana maana yake ni kwamba katika maradhi hayo niliyoandika mtu anakula kwa shida maana yake anakuwa ni mwenye kukosa hamu ya chakula au anajikuta ni mwenye kula kana kwamba anajilazimisha.

Ieleweke pia hakuna mtu ambaye hafahamu humu katika thread zangu kuangalizia huwa kwenye thread na uchambuzi wowote ule ni bure isipokuwa private malipo yake ni sh elfu 5 ni sawa na kumfuata mtu ofisini kwake asikulipishe mkuu kama nilikosea kukuangalizia niwie radhi.

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom