Yahusu: Majini mahaba...

hahahaaaa!! pole sana...! afu haya madude yakisemwa sana ndio yanakuja!

sasa kama na yenyewe ni roho, that means yako everywhere, hata hapo ulipo yapo,

nadhani sasa muda ufike yaanze kupewa uraia! lol.

whaat! Usintishe bana!! Khaa ! Wapewe nini? Mi stak hata kuyajadili !!
 
Dawa kali na yenye NGUVU ya ma Djinnn na Ma shetani yoooote hayo sio nyingine ni YESU KRISTO
Yaani uki sema "In the name of the LORD JESUS CHRIST, Get away demon!!!!"
Ungeweza kuona jinsi linavyoondoka kwa mwendo wa Rocket.
8) 8) 8) 8) 8( 8) 8)
 
Dawa kali na yenye NGUVU ya ma Djinnn na Ma shetani yoooote hayo sio nyingine ni YESU KRISTO
Yaani uki sema "In the name of the LORD JESUS CHRIST, Get away demon!!!!"
Ungeweza kuona jinsi linavyoondoka kwa mwendo wa Rocket.
8) 8) 8) 8) 8( 8) 8)
mkuu leo nimesikiliza kipindi cha njia panda, clouds fm, jamaa alikuwa anazungumzia kuhusu majini na jinsi alivyokutana na lucifer, jamaa kaelezea eti kule ujijini alikoenda, ei majini sio mabaya kama yanavyokuwa huku juu kwetu! sura na mwili kadai eti ni kama mwanadamu, yani sisi tulivyo! hmm!

Alipomfikia lucifer, hmm! aisee its untold, jamaa kadai eti he is suraless! that means anabadilika badilika kila sekunde, mara mzungu, mchina, mwafrika, nk!

hawa jamaa wanaodai kwenda kuzimu sijui huwa wanasema kweli ama wanatunga? bado sijaamini kweli kuna mtu kakutana na lucifer eye to eye..
 
aisee.. pole sana dada.. tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atuepushie mbali.

nimenyetishiwa kwamba hawa viumbe wamejaa zaidi huku pwani na mikoa yake...!!

sasa sijui hawa wenyeji wanaishi vipi nao?

Asante kakaangu... ni kwa neema tu na rehema tunaishi ila katika upande wa ulimwengu wa roho kunatisha aisee!!!
 

Hivi hiko kipindi hakina marudio!??
 
Majini ni viumbe kama walivyo wanadamu, kati ya hao majini kuna wachamungu na kuna wale wasiomcha Mungu kama unavyoona wanadamu kuna wanao sali na wengine ndo hawanaga habari.
Majini ambao hwanaga habari na Mungu ndo wanaitwa mashetani ambao ndo miongoni mwa wanaowadhuru wanadamu na hawa majini mahaba

Majini yana matamanio kama wanadamu na yanazaliana pia na kuba pia, Majini yana uwezo wa kupita ktk ukuta wa nyumba kama hamna kitu vile yaan kama umelala ovyo ndani anakuona. Majini mahaba huvutiwa na watu wasionaga na habari na Mungu kama wazinifu kwan wao hizo ndo tabia zao. Pia kwa watu ambao mara nyingi hupenda kukaa sehemu iliyotulia peke yake kwa mda mrefu basi utampata mwenzio. Majini wapo wengi yaani wana shape tofauti ila wanauwezo wa kujibadilisha kuwa vitu tofauti tofauti
Jini ana uwezo wa kuishi hata katika kucha poleni mnaopenda kufuga kucha. Mashetani kukaa pia sehemu chafu kama chooni na majalalani. AKIKUPA JINI MAHABA ANA UWEZO WA KUKUFANYA WEWE UNA MUONA WENZIO HAWA MUONI. YAANI MANKUA KAMA MKE NA MUME TENA na hatopenda asogee mwengine kwan bond ime balance
 
ILA kutokana na Qur'an malaika na majini ni vitu viwili tofauti vyenye asili tofauti. Majini yana matamanio kama wanadamu, wanakula na kuzaliana pia ila malaika hawana matamania, hawali wala hawazaliani. Iblisi alikua miongoni mwa viumbe vitakatifu lakini hakuwa miongoni mwa malaika ila ni miongoni mwa majini kwan anasifa za majini ikiwemo material aliyotengenezewa iblisi ni sawa na ya majini.
 
Jesus Christ!

hivi ni nani aliyeyapa ruhusa majini kuvaa mwili wa mwanadamu?

mkuu nimestushwa sana hii habari! inakuwaje majini yanunuliwe e-bay? naomba ufafanuzi tafadhali!
swali la nyongeza:
inamaana wanafanyiwa shipping kama bidhaa nyingine?
 
Mkuu si majini yote yataenda motoni, kuna tofauti kati ya majini na mashetani. mashetani ni maovu
 
Mkuu si majini yote yataenda motoni, kuna tofauti kati ya majini na mashetani. mashetani ni maovu

what? mkuu unajua akini ulichokisema ni nini?

kuna jini ambalo limeshika amri 10 za Mungu?
 
what? mkuu unajua akini ulichokisema ni nini?

kuna jini ambalo limeshika amri 10 za Mungu?

Unafaham tofaut kat ya majini na mashetan? Kwan hata mtu anaweza kuwa shetan vile vile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…