Yahusu kufuta kauli

Yaani hata mimi nafuta kauli. Theluthi moja ya wabunge wa jamhuri ya tanzania sii wapumbavu.
Na pia naunga mkono hoja 1.5T haijaibiwa ila sawa na uk 34 haionekani matumizi yake!
 
Yaani hata mimi nafuta kauli. Theluthi moja ya wabunge wa jamhuri ya tanzania sii wapumbavu.
Na pia naunga mkono hoja 1.5T haijaibiwa ila sawa na uk 34 haionekani matumizi yake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yahusu kukumbushia ule msemo "hadithi njoo uongo njoo utamu kolea", ss kazi kwako ipi hadithi upi uongo kisha acha utamu ukolee
 
Huwa
 
Nimeikubali hiii.....

Ni sawa na bilauli iliyowekwa maji mpaka nusu bilauli, halafu kuwe na watu au makundi mawili yanayobishana kwamba... THE GLASS IS HALF EMPTY au THE GLASS IS HALF FULL..... ni fools tu hawataona kwamba wanazungumzia kitu kimoja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DEFINITION of 'Embezzlement' Embezzlement is a form of white-collar crime where a person misappropriates the assets entrusted to him or her. In this type of fraud the assets are attained lawfully and the embezzler has the right to possess them, but the assets are then used for unintended purposes.

Unintended purpose inaweza ikawa
1. Kufanya ambayo hayakupangwa
2. Kuiba

Hili la kuibwa ni kubwa kwa vile hakuna nyaraka halali zinazothibitisha uchukuaji toka zilipokusanyiwa, wala nyaraka za matumizi yake....

UKIZIKOSA NYARAKA HIZO MBILI (ya wakati unapewa hela, na ya matumizi, e.g unapofanya retirement) THERE IS NO OTHER WORDS ZAIDI YA KUSEMA NI WIZI
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…