mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
yamekwisha mkuu sio umekwisha, siku hizi nachapia kinyama.π³ π³ π³ π³
π π π Dah asavali umenipa ufafanuziyamekwisha mkuu sio umekwisha, siku hizi nachapia kinyama.
kwa uzoefu wa matukio ya kisiasa bongo lilipofikia hilo sakata ndio basi tena.
kwa sababu wahusika wote wamenena, ngoja tuone mwisho wake lkn.
Kabisa, number haziongopi.....!Hesabu haziongopi... Maandishi hayafuti kauli View attachment 751031
Wale walio wapumbavu kwa sababu watasema hatujatajwa sisi.π π π Wepi sasa watakaoshangilia
wameiminyaπ΅Kuna kila dalili hii mada itafichwa kusikojulikana
kipeperushi
Kuna siku nilitumwa nikanunue jeneza msiba wa jirani yetu.... Nikiwa nakaribia eneo la majeneza akatokea mpenzi wangu kapoteza pesa aliyotumwa kununua vitu vya dukani kwao (alitapeliwa na wajanja wa karata tatu) kwa ninavyomfahamu babaake alivyo mkali nikajikuta nachomoa 50,0000/= ya kununulia jeneza na kumpa... Haya yalikuwa matumizi nje ya bajetiKuna siku nikiwa shuleni, nilihifadhi mkebe wangu mpya kabisa kwenye begi langu, na ndani ya mkebe niliweka mia mbili ya noti, basi nikaacha begi kwenye dawati mimi nikatoka nje kupumzka maana ilikuwa ni saa za mapumziko, NDANI DARASANI HAKUKUWA NA YEYOTE ALIYEBAKI... Muda wa mapumziko ulipoisha nilirudi darasani, basi nikavuta begi langu na kuanza kulikagua....
Duh!! Ule mkebe niliouacha ukiwa na mia mbili ya noti ndani yake sikuuta, na wala sikujua ulienda wapi hadi leo hii.... Sijui hata kilitokea nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilitumwa nikanunue jeneza msiba wa jirani yetu.... Nikiwa nakaribia eneo la majeneza akatokea mpenzi wangu kapoteza pesa aliyotumwa kununua vitu vya dukani kwao (alitapeliwa na wajanja wa karata tatu) kwa ninavyomfahamu babaake alivyo mkali nikajikuta nachomoa 50,0000/= ya kununulia jeneza na kumpa... Haya yalikuwa matumizi nje ya bajeti