Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Duh!kuna story moja sikuwahi kuithibitisha sijui kama ilikuwa gahwa au vp kuna jamaa alipiga mzizi wakiuita mpini mpini nimejaribu kutolitamka jina halisi basi akawa na miadi kaisha noa panga lake vizuri cha ajabu kuku wa kuchinjwa hakutokea ikawa heka heka hapo home siri ikafichuka sasa wapo wanandugu watupu mwanaume peke yake kamati ikakaa hakuna namna jamaa analia kama kichanga sister wake mkubwa ikabidi aokoe jahazi segere likachezwa sister akachemka a kaja mwingine na mwingine na mwingine wakaanza kujirudia wapi inasemekana mpaka bimkubwa wake nae alipitiwa.Haikopeshi inapiga kote kote
So??? Huruhusiwi kumchodha my wife wako, coz masharti usichokoze[emoji38] [emoji38] [emoji3]Ya kwenye dushe mpaka ichokozwe na mkeo au kimada kwa kuipeti peti kwa madaha.....
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Duh!kuna story moja sikuwahi kuithibitisha sijui kama ilikuwa gahwa au vp kuna jamaa alipiga mzizi wakiuita mpini mpini nimejaribu kutolitamka jina halisi basi akawa na miadi kaisha noa panga lake vizuri cha ajabu kuku wa kuchinjwa hakutokea ikawa heka heka hapo home siri ikafichuka sasa wapo wanandugu watupu mwanaume peke yake kamati ikakaa hakuna namna jamaa analia kama kichanga sister wake mkubwa ikabidi aokoe jahazi segere likachezwa sister akachemka a kaja mwingine na mwingine na mwingine wakaanza kujirudia wapi inasemekana mpaka bimkubwa wake nae alipitiwa.
Mbona unaguna bibie?
Mambo ya mshanaMbona unaguna bibie?
Mambo yepi?[emoji15]Mambo ya mshana
Jamani,jamani hivi duniani kufuru zipo nyingi,kichwani si kuna ubungo?Test ya kuangalia kama dawa ya muku imekubali ni kuchimbiwa shimoni na kinu cha mahindi Kuwekwa kichwani kisha watafutwe kina mama wawili wenye nguvu wayatwange mpaka yalainike
Yapo katika ulimwengu huu huu tunaoishi.Mambo ya mshana
Afunguke sio?Mambo yepi?[emoji15]
Yap!Afunguke sio?
Kamsukumia mshana jr na mambo yake.Yap!
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu
Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa muku ni wagumu kuugua kuumia na kiboko ya yote kufa aliyechanjiwa muku ni mtu mwenye roho ngumu hasa akikamatwa kwa mfano kwenye tukio la ujambazi au wizi na wananchi wenye hasira kali wanaweza kumpiga mpaka wakadhani wameua lakini siku inayofuta akakutwa bado anapumua.
Muku ni mzuri Unapokuwa hai lakini ni kitu kibaya kabisa unapokaribia kuachana na dunia hii kwa maana ya kifo...watu waliochanjiwa muku hufa kwa mateso makubwa sana kutokana na madawa aliyokunywa na kufanyiwa...akifanikiwa kufa mapema basi si chini ya siku tatu na hata akipata ajali mbaya kabisa au hata kuchomwa moto au kukatwa shingo mwili wake huchukua muda mrefu mno kupo.
Ninafahamu wengi wanapenda ujasiri na kuwa na kinga ya muku lakini kumbuka mateso siku roho yako ikitaka kuachana na mwili wako
Ukiweza kafanye lakini madhara yake ndio hayo
Yaani umenena kweli maana haya mambo ni ya kufikirika saaana,leo tupo karne ya 21 mijibaba mizima na yenye mvi bado yanashdadia upupu wa aina hii,ETI MUKU.Ahahahaaaaa hizi simulizi huwa zinachekesha sana.
ITS PURE HORSE SHIIIIIIIT MY DARLING.Don't blv on that shit
KARANJA 007 by thenITS PURE HORSE SHIIIIIIIT MY DARLING.