Ok ok ni kweli hebu nitajie nikaitafute aisee ukiweza kulikumbuka jina lakeHapana mkuu sio mzugwa hio mzugwa ni ya malaria, Hio ya muku ya kunywa hata mimi nilitumia ni mti fulani mgumu hata upige kazi uwe hoi vipi kesho unapga glass moja asubuhi unakuwa fiti huichemshi unaloeka tu huo mzizi
Sawa mkuu nkikumbuka ntakutajia. hio mzugwa nayo ina muku japo si sana but kwa inshu za malaria na homa mzugwa ni the best ni Chungu sana mzugwa kama ulivyosemaOk ok ni kweli hebu nitajie nikaitafute aisee ukiweza kulikumbuka jina lake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachaga???Utasababisha watani zake Mshana Jr. waje kuitafuta!!!
Thijathema[emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachaga???
Kweli maana unaweza kunywa mikaratusi hahahaSafi! ila kumpata atakae kupa dawa za asili sahihi ndio shida, wajanja wamekuwa wengi sana siku hizi, una pewa takataka tupu ili yeye apate tu kipato.
Watu hawachezi mbali na fursa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wapigaji wa mjini hao...hicho kinachoitwa muku super shaft ni mizizi iliyosagwa inaitwa ubombo kisambaa , ni kama ile wanayouza wamasai kwenye mabar
Bora uwe mzito hivyo hivyo maana unataka kuharibu mambo yetuMkuu natamani niseme kitu lakin mdomo unakuwa mzito....
Kila kitu kinataka ujasiri hasa kama kitu chenyewe kinahusisha uzima na kifoKuhusu kujaribiwa kuna siku niliona clip moja kuhusu bulletproof jamaa yupo ndani ya gari wakaja jamaa watatu na machine wakaanza kupiga kioo cha mbele mpaka risasi zikaisha yule jamaa yupo ndani katulia tuli.
Sasa nimepiga picha ya muku parefu hapo jamani lazima upate kitete .
Huyo katibiwa tu kwakuwa kuchanjiwa muku ni mpaka utake mwenyewe na si kila mganga anajua hiyo makitu. ...ukikutana na mganga ambaye hajui vizuri atakusababishia madhara hata kifo wakati wa majaribioDoh nimeogopa kidogo baada ya kuona madahara ya kuchanjwa wakati wa kufa! maana kuna ndugu yetu anateseka na magonjwa ya nguvu za giza tukampeleka Tanga Segela kwa babu mmoja maarufu wa kidigo akachanjwa na kupakwa dawa flani nyeusi kama unga wa mkaa inawashaa...kifuani mgongoni na sehemu zote za maumivu... sasa nayo ina madhara kama muku au ile ni tiba tu haina madhara doh!
Yaah!ni kweli coz kuna story nyingine jamaa kaenda penye mambo hayo mganga kamwambia ingia porini ndani utakuta kuna mbuzi mfunge hii kamba uje nae jamaa kaingia chaka ile sehemu alio elekezwa kufika anakuta simba dume limetulia linamtizama sasa hapo kazi kwako inasemekana jamaa alifunga nafsi akenda Kumfunga kamba alipomaliza yule msimbazi akageuka mbuzi.Kila kitu kinataka ujasiri hasa kama kitu chenyewe kinahusisha uzima na kifo
Haahaahaa mkuu mie nataka nichanjiwe muku nikafanye fujo kituo cha polisi.