Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
Kichwa cha habari kinahusika.
Hapo jana tarehe 29/11/2012 Nilitoa tamko kuhusu uhusiano usiofaa cina ya Madame B na Chimbuvu na nikatoa maagizo ya nini wafanye wahusika kabla ya saa tano asubuhi hii.Maagizo hayo yalikuwa ni
i. Madame B akiri kuwa yeye ni
mke halali wa Ruttashobolwa
kama inavyofahamika hapa na
aombe msamaha kwa wana chit
chat wote kwa usumbufu
aliousababisha.
ii Chimbuvu atoe tamko rasmi la
kuachana na Madame B na
aombe msamaha kwa usumbufu
aliowasababishia wana chit chat
wote.
Kinyume na maagizo yanavyoelekeza wahusika wameamua kufanya yafuatayo aidha kwa kutoelewa walichoagizwa au KWA MAKUSUDI ili kukwepa walichoagizwa
i. Wameamua kupeleka maombi yao kwenye kamati ya SCREENING ilhali ripoti ya kamati ilishakuja kwangu na kuthibitisha kuwa Madame B bado ni mke halali wa Ruttashobolwa
ii.Wanaomba waruhusiwe kuwa na uhusiano ilhali bado hawajakamilisha maagizo.
UAMUZI
Awali nilisema adhabu watakazopewa wahusika zitaanza kutekelezwa baada ya saa tano asubuhi hii iwapo hawatatekeleza maagizo ambayo KIMSINGI bado hayajatekelezwa, hivyo ADHABU ZIKO PALEPALE. Kwa kujali utu na kuzingatia kuwa inawezekana wahusika hawakuelewa maagizo. Nawaongezea masaa matatu na nusu hadi hapo saa tisa kamili alasiri leo wawe wametekeleza maagizo, ama sivyo ADHABU zitaanza kutekelezwa maramoja.Kumbuka adhabu hizo ni
.
i Madame B na Chimbuvu
kutopewa LIKE na mwana chit
chat yeyote katika post zao.
ii.Kuto QUOTE post yoyote ya
Madame B au Chimbuvu .
iii.Kuwekwa hadharani kwa picha
zao ZA AIBU walizopigwa bila wao
kujua.Kazi hii itafanywa na Asprin
na Mtambuzi.
iv.Kusutwa hadharani wote wawili
wakiwa wamevishwa kanga na
kupakwa majivu. Kazi hii
itafanywa na gfsonwin cacico FP lara 1 Ciello na
Zinduna chini ya usimamizi wa
malafyale watu8 huku
ikifadhiliwa na Arushaone na
Bishanga.

Last edited by a moderator: