YAH:Utekelezaji wa maazimio dhidi ya madame b na chimbuvu

Lakini ikumbukwe kwamba vijana wadogo wenye tamaa wanapenda kuona vilivyo pendezeshwa ndio wana jiweka lakini wana shindwa kujiuliza kwa nini wanao wataka wana pendeza?

Hawa ndio vyanzo vya kuvunjika kwa ndoa za watu!

Ndoa haijengwi kwa sheria za nchi,kama ingekuwa hivyo kila mwanandoa angekuwa na kitabu cha katiba na sheria ya nchi,ndoa inajengwa kwa upendo,msamaha,ndoa hautakiwi kujivuna,maneno matamu,matunzo bora sasa ukifikiri sheria za nchi ndio zinaongoza ndoa yako,endelea kusubiri kalagabaho
 
Back
Top Bottom