Yah: Utambulisho wa uchumba

Yah: Utambulisho wa uchumba

Comment kama hizi ndio huwa zinatambulisha hata umri wenu.

stop judging mister comrade...!
hizi fake identities zisikufanye ukapaniki kijinga..!
..wakati mwingine tunatoa comments kwa utani kufurahisha jukwaa..!
 
stop judging mister comrade...!
hizi fake identities zisikufanye ukapaniki kijinga..!
..wakati mwingine tunatoa comments kwa utani kufurahisha jukwaa..!

Aliyepanic ni Diamond na Babu Tale Mkuu siyo mimi mkuu.

Hapa nakula bonge la track la Nako 2 Nako- hawatuwezi, mizuka ya hip hop imeshanipanda.
 
Hawa huwa tunawaita under 30. Utadhani wanafanya makusudi kumbe maji mengine bado ni marefu kwao.

Utu uzima wenu uwasaidie katika familia zenu... kwa uku jf kuna watu wa kila aina.. izi fake id zinafanya kila mtu ajione ni smart kuliko mwengne
 
Aliyepanic ni Diamond na Babu Tale Mkuu siyo mimi mkuu.

Hapa nakula bonge la track la Nako 2 Nako- hawatuwezi,
mizuka ya hip hop imeshanipanda.
...Endelea kupandisha mkuu..
Lakini upunguze munkari coz utaanza kuandika nonsense na kuaibisha #TEAM30 +
 
Tatizo lako moja tu, nataka kupeleka posa kwa kutumia ile mbinu pale juu lakini we mnyimi sana..!!

Sa unataka nikupeje? Ninyi ndio walee mliosemwa mchana na yule.mdau kwamba mnashindwa kujiongeza
 
...Endelea kupandisha mkuu..
Lakini upunguze munkari coz utaanza kuandika nonsense na kuaibisha #TEAM30 +

Kuna mmoja humu leo alimwambia mwenzake anajishusha heshima, akaulizwa ana uhakika kwamba hata hiyo heshima yenyewe kama anayo? Hilo swali halikujibiwa.
 
Sa unataka nikupeje? Ninyi ndio walee mliosemwa mchana na yule.mdau kwamba mnashindwa kujiongeza

Mdau gani huyo...?
mbona komenti yake sikuiona...!
Alisema nini hasa..!
Jua tu kuwa nataka kuleta posa..!
Barua yangu unajua nitakavyoiandika...teeh!!
 
Kuna mmoja humu leo alimwambia mwenzake anajishusha heshima, akaulizwa ana uhakika kwamba hata hiyo heshima yenyewe kama anayo? Hilo swali halikujibiwa.
sasa mister #muchknow si ajibu..!
yani umeona...(desh) ukaacha kutoa nasaha?
 
Mdau gani huyo...?
mbona komenti yake sikuiona...!
Alisema nini hasa..!
Jua tu kuwa nataka kuleta posa..!
Barua yangu unajua nitakavyoiandika...teeh!!

Hujaiona thread ya kwamtoro?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom