Yah: Utambulisho wa uchumba

Yah: Utambulisho wa uchumba

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,028
Reaction score
650
Ndugu wazazi wa Chausiku
Ninapenda kujitambulisha kwenu wazazi, Mimi kwa jina naitwa Chopeko Nchumali. Nimempenda mtoto wenu Chausiku, ninahitaji kumuoa kwa baraka zenu na ruhusa yenu wazazi hivyo nimeamua kujitokeza kwa dhati kabisa mnipokee niwe sehem ya familia yenu, nitafurahi saana kwa kupokelewa na kuwa mmoja wa familia yenu na kutubariki tuishi pamoja na mtoto wenu maisha yenye baraka
 
Huyu chopeko sijamuona siku nyingi kumbe amechoka u-singula sasa??
 
Last edited by a moderator:
Kama baba mkwe nasema hivi mahari yako sitaki ila utajua utanipa nini
 
Bado mnaandika barua za posa?
She'll go home with a protruding belly and that'll be it...!
 
Labda ana mantiki kubwa kuliko unavyoweza kuchukulia wewe, je umeshawahi kuiona barua ya posa?

sahihi kabisa, huyo jamaa amesoma lakn hajatafakar ila angefikia umri wa kupeleka posa au angefikia umri wa kuweza kumpelekea posa mtu flan asingeandika hicho alichoandika
 
Back
Top Bottom