Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,068
Ulevi unashika kasi Tanzania ,walevi wamerahisishiwa mno kwa sasa, ukiwa na jero tu unapata pakiti maarufu kama kiroba, kuna kina aina ya viroba leo hii ambavyo huuzwa mpaka kwenye stand za daladala lakini unayafahamu madhara yake?
1: huharibu Bajeti mno
2: kuvuruga ratiba
3:Ajali
4:kukosa umakini
5:uchovu
6:kuharibu ini na figo
7:magonjwa hasa ukimwi
8:kutoa harufu mbaya mdomoni
9:kuwaza ngono
10:kukosa usingizi
Nk nk nk
1: huharibu Bajeti mno
2: kuvuruga ratiba
3:Ajali
4:kukosa umakini
5:uchovu
6:kuharibu ini na figo
7:magonjwa hasa ukimwi
8:kutoa harufu mbaya mdomoni
9:kuwaza ngono
10:kukosa usingizi
Nk nk nk