Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,927
- 6,417
Wa viti maalumu au, tofautisha kuchaguliwa na kuteuliwaHata hivyo ndio mbunge mtarajiwa ,anasubiri kuapishwa tu,Ndugulile atatafutiwa kazi nyingine
Wa viti maalumu au, tofautisha kuchaguliwa na kuteuliwaHata hivyo ndio mbunge mtarajiwa ,anasubiri kuapishwa tu,Ndugulile atatafutiwa kazi nyingine
Utaelewa tu ,ni suala la mudaWa viti maalumu au, tofautisha kuchaguliwa na kuteuliwa
What is So Special with or in Makonda??? Wapiga Kura za maoni hawakuona hiyo Speciality yake wampigie? Ndugulile ana tatizo gani Hadi asipewe nafasi ya Ubunge? Human Doctor mzaliwa na Mkaazi wa Kigamboni anyimwe Kwa nini? Acheni upambe Mbuzi kama Bashite anawalipa kumpigia Debe mitandaoni mmebugi. Wapiga Kura wameamua ule sio Uteuzi.Hata hivyo ndio mbunge mtarajiwa ,anasubiri kuapishwa tu,Ndugulile atatafutiwa kazi nyingine
Wewe komaa.lakini nilichokuambia ndio kitakuaWhat is So Special with or in Makonda??? Wapiga Kura za maoni hawakuona hiyo Speciality yake wampigie? Ndugulile ana tatizo gani Hadi asipewe nafasi ya Ubunge? Human Doctor mzaliwa na Mkaazi wa Kigamboni anyimwe Kwa nini? Acheni upambe Mbuzi kama Bashite anawalipa kumpigia Debe mitandaoni mmebugi. Wapiga Kura wameamua ule sio Uteuzi.
Ndugulile ndiye Mbunge wapiga Kura walishaamua.Wewe komaa.lakini nilichokuambia ndio kitakua
Ndugulile aliongoza.tu kura za maoni.,atakaeteuliwa ni mshindi wa pili.ambaye ni MakondaNdugulile ndiye Mbunge wapiga Kura walishaamua.
Akili zako sio nzuri; hivi umeona huko mtaani badala ya CCM kutoa sadaka yaAnguko lake ni anguko la babayake pia.
Wew ulikuwa upande wa ojungu ole satabau nn ?au ngereza mnk mtu kapata kuramoja afu bado analalamika eti yule jama cmjui ila wache wapeperushe benderaa ya ccm mnk kuna watu hawakuwa serious na uchaguziHuyu Noel Severe wa Arumeru Magharibi huku Arusha anatajwa kutumwa na wakuu na kamwaga mifwedha haswa kashika kata zote hata waliodhani watashinda wameshangaa kibao kilivyogeuka.. unalishwa Rushwa plus Yamini babaake huachi kupiga Kura ya ndiyo.
Hv wew ujawai kutoa au kupokeaa rushwa yoyote mnk pengine tunasemaa tu kuwaa ccm wala rushwa kumbe ww mwenyewew Ni mtoa rushwaaCCM na rushwa ni chupi na yako nashangaa mtu anasema uchumi wa kati
Duhningekua rais ningefuta mchakato Wa kura za maoni na kuitisha upya, na walioshiriki wasirudie wake wapya, maana hakuna ambae hajatoa rushwa
. Mji umepoa kama popobawa kapita.
kolomije hawamjui Paulo wanamjua Bashite ,hapo ndio mtihani.Makonda kabugi,alitakiwa atafute jimbo dhaifu ama akagombanie kwao kolomijei.
Akamatwe na kufikishwa kunako husika, CCM rushwa imekuwa nembo ya chama.Mkakati wa timu ya Makonda kuhakikisha zinapatikana kura nyingi za maoni kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu Jimbo la Kigamboni uligubikwa kwa rushwa, imebainika.
Rushwa hiyo iliyotembezwa waziwazi kwa wajumbe wa mkutano huo uliomalizika leo, imedhihiri baada ya wapambe wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanza kuwatukana na kuwatisha baadhi ya wajumbe hao.
Waliokula pesa na kuhisiwa kutompigia kura waitwa wahuni
Mara baada ya matokeo ya wagombea hao wa CCM kutangazwa, wapambe wa Makonda, wengi wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano walisikika wakitukana na kuwaita wajumbe waliodai wamekula pesa zao kuwa ni “wahuni.”
Mmoja wa wapambe hao, Jack Pemba aliyeonekana mara kwa mara maeneo ya Kigamboni tangu wiki iliyopita akiwa na Makonda, alisema “Kigamboni watu wajinga sana, wanaacha mpiganaji?” hapa akionekana kumaanisha Makonda.
Jack Pemba anatajwa katika safari zake za Kigamboni kuwa alikuwa akifuatana na timu ya wapambe wenzake kusaka wajumbe na kuwapa rushwa.
Katika uchaguzi huo, Makonda aliambulia kura 122 huku mbunge aliyemaliza muda wake, Dkt. Faustine Ndugulile akiibuka kidedea kwa kura 190.
Jack Pemba ambaye amekuwa akijinadi kuwa “rafiki na ndugu tajiri” wa Makonda, aliwasili nchini Jumanne ya wiki iliyopita.
Pemba aliwaeleza marafiki zake kwamba amekuja “kumaliza kazi Kigamboni” kwani ana mzigo wa kutosha (pesa).
Pamoja na Kigamboni maeneo mengi kulikofanyika uchaguzi huo yamedaiwa kugubikwa na vitendo vya rushwa, huku wabunge waliomaliza muda wao wakitajwa kutumia fedha nyingi kuwahonga wajumbe.
Mmoja wa wagombea kutoka Lindi amesikika akilalamika kuwa mafao ya wabunge waliomaliza muda wao yametumika kuminya haki katika mchakato huo.
CHANZO: Makonda alitembeza rushwa Kigamboni. Wapambe wake wawawakia waliokula pesa zao