Yadaiwa Makonda alimwaga Rushwa Kigamboni, mratibu wake alikuwa Jack Pemba

Akili zako sio nzuri; hivi umeona huko mtaani badala ya CCM kutoa sadaka sare zake safari hii hakuna charity, watu wanananua vitambaa, wanapata wateja wakununua na kushona; inakuambia jinsi Magu alivyobadili CCM.

Waambie CDM wajaribu kama wataweza.

Magufuli hana mpinzani; endeleeni kuwalisha pumba akina Lissu kama wanaweza fua dafu mbele ya jemedari.
Aliprint fomu moja kuogopa nn
 
ningekua rais ningefuta mchakato Wa kura za maoni na kuitisha upya, na walioshiriki wasirudie wake wapya, maana hakuna ambae hajatoa rushwa

Kwa wajumbe wale wanaochagua hata mrudie mara mia. Kifo cha mende tu. TAKUKURU Jimbo la Kibamba toeni ripoti mgombea alieongoza aliachiwaje baada ya kukamatwa akitoa rushwa eneo la uchaguzi. ?!
 
Mkakati wa timu ya Makonda kuhakikisha zinapatikana kura nyingi za maoni kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu Jimbo la Kigamboni uligubikwa kwa rushwa, imebainika.

Rushwa hiyo iliyotembezwa waziwazi kwa wajumbe wa mkutano huo uliomalizika leo, imedhihiri baada ya wapambe wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanza kuwatukana na kuwatisha baadhi ya wajumbe hao.

Waliokula pesa na kuhisiwa kutompigia kura waitwa wahuni

Mara baada ya matokeo ya wagombea hao wa CCM kutangazwa, wapambe wa Makonda, wengi wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano walisikika wakitukana na kuwaita wajumbe waliodai wamekula pesa zao kuwa ni “wahuni.”

Mmoja wa wapambe hao, Jack Pemba aliyeonekana mara kwa mara maeneo ya Kigamboni tangu wiki iliyopita akiwa na Makonda, alisema “Kigamboni watu wajinga sana, wanaacha mpiganaji?” hapa akionekana kumaanisha Makonda.

Jack Pemba anatajwa katika safari zake za Kigamboni kuwa alikuwa akifuatana na timu ya wapambe wenzake kusaka wajumbe na kuwapa rushwa.

Katika uchaguzi huo, Makonda aliambulia kura 122 huku mbunge aliyemaliza muda wake, Dkt. Faustine Ndugulile akiibuka kidedea kwa kura 190.

Jack Pemba ambaye amekuwa akijinadi kuwa “rafiki na ndugu tajiri” wa Makonda, aliwasili nchini Jumanne ya wiki iliyopita.

Pemba aliwaeleza marafiki zake kwamba amekuja “kumaliza kazi Kigamboni” kwani ana mzigo wa kutosha (pesa).

Pamoja na Kigamboni maeneo mengi kulikofanyika uchaguzi huo yamedaiwa kugubikwa na vitendo vya rushwa, huku wabunge waliomaliza muda wao wakitajwa kutumia fedha nyingi kuwahonga wajumbe.

Mmoja wa wagombea kutoka Lindi amesikika akilalamika kuwa mafao ya wabunge waliomaliza muda wao yametumika kuminya haki katika mchakato huo.

CHANZO: Makonda alitembeza rushwa Kigamboni. Wapambe wake wawawakia waliokula pesa zao
Mtafuteni huyu 0715132277 anaitwa Sele ndiyo mpambe wa Jack pemba ndiyo katoa siri zote za Bashite jinsi walivyokuwa wakigawa Rushwa, anazo siri nyingi za Bashite
 
Umejuaje, kuna mtu alijitokeza akanyimwa form? ye mwenyewe alikuwa hana uakika mpaka dakika ya mwisho kama hakuna mtu atakaenda kuchukua form.

Wacha kuokota maneno ya mtaani.
Kipi keshawahi shinda bila kubebwa?
Uwaletee watu umasikini ili wakuabudu then warudie kosa la kusomeshwa namba tena
 
What is So Special with or in Makonda??? Wapiga Kura za maoni hawakuona hiyo Speciality yake wampigie? Ndugulile ana tatizo gani Hadi asipewe nafasi ya Ubunge? Human Doctor mzaliwa na Mkaazi wa Kigamboni anyimwe Kwa nini? Acheni upambe Mbuzi kama Bashite anawalipa kumpigia Debe mitandaoni mmebugi. Wapiga Kura wameamua ule sio Uteuzi.
0715132277 sele analo file lote la Rushwa ya Bashite mpigie utapata taarifa zote, waketembeza Rushwa sana na wanafanya fitna kwa nguvu kubwa ndungulile akatwe jina Dodoma
 
Kipi keshawahi shinda bila kubebwa?
Uwaletee watu umasikini ili wakuabudu then warudie kosa la kusomeshwa namba tena
Mnatabia ya kujiaminisha mambo ambayo mnayaelewa kwenye vichwa vyenu tu.

Magufuli mwenyewe sasa hivi ameshakuwa comfortable na kazi yake na anachotaka ni kazi tu hakuna kuremba na watanzania tumemuelewa.

Lissu na Membe watashindana na Magufuli you guys are a joke kama mnaamini wana hiyo chance kwenye sanduku la kura.

Hivi ata kwanini mnataka kupoteza muda wa kura za raisi wakati mshindi anajulikana tayari ni Magufuli.

Mwenye macho aambiwi tazama miaka mitano ya Magufuli ni miujiza.
 
Sema utakua mjinga kama uliamini alipata zile kura 122 bila kumwaga pesa. Makonda ni mtu pekee aliepata uBilionea katika serikali ya awamu ya 5.
Mpigie sele 0715132277 atakupa mbinu zote walizokuwa wakitumia kugawa Rushwa Kigamboni na mpaka sasa anazo pesa zingine za kutengeneza fitna za kumchafua ndungulile huko Kigamboni
 
Mnatabia ya kujiaminisha mambo ambayo; Magufuli mwenyewe sasa hivi ameshakuwa comfortable na kazi yake na anachotaka ni kazi tu hakuna kuremba.

Lissu na Membe watashindana na Magufuli you guys are a joke.

Mwenye macho aambiwi tazama miaka mitano ya Magufuli ni miujiza.
Muujiza kuwabambikia kesi wapinzani? Muujiza kuzuia mikutano ya siasa?
 
Kwa wajumbe wale wanaochagua hata mrudie mara mia. Kifo cha mende tu. TAKUKURU Jimbo la Kibamba toeni ripoti mgombea alieongoza aliachiwaje baada ya kukamatwa akitoa rushwa eneo la uchaguzi. ?!
Baadhi ya Takukuru licha ya kuzuia Rushwa lakini na wao huichukua Rushwa pindi wakamkata mtu kwenye anga ambazo hazina macho mengi mtafuteni sele 0715132277 anazo taarifa zote jinsi walivyotembeza Rushwa
 
Muujiza kuwabambikia kesi wapinzani? Muujiza kuzuia mikutano ya siasa?
Ukusikiliza juzi alichoongea sasa hivi ni muda campaign karuhusu mikutano.

Nchi aiwezi kuwa na campaign kila siku baada ya uchaguzi labda kama inataka kutengeneza anarchy; watu walizoeshwa vibaya hakuna nchi inayo ruhusu mikutano ya hadhara baada ya uchaguzi hayo mambo yalikuwa Tanzania tu dunia nzima; kama una sehemu nyingine leta ushahidi. It had to stop.

Kinachosikitisha ni kumuongopea Lissu wenu ana nafasi dhidi ya Magufuli; kwa lipi Lissu alilowahi wafanyia watanzania.

Sasa hivi kuna shule huko za serikali wazazi ambao walikuwa wanapeleka watoto pricate wanalialia watoto zao waende baada ya Magu kuzijenga, kuna mazao huko watu wanafikia baada ya Magu kuwajengea barabara; in short kuna kila kitu kwa kazi ya Magufuli.

We endelea kuota tu
 
Akili zako sio nzuri; hivi umeona huko mtaani badala ya CCM kutoa sadaka ya
sare zake safari hii hakuna charity, watu wanananua vitambaa, wanapata wateja wakununua na kushona; inakuambia jinsi Magu alivyobadili CCM.

Waambie CDM wajaribu kama wataweza.

Magufuli hana mpinzani; endeleeni kuwalisha pumba akina Lissu kama wanaweza fua dafu mbele ya jemedari.
Angekuwa hana mpinzani angekubali ashindanishwe na wanaCCM wenzake
 
Mnatabia ya kujiaminisha mambo ambayo mnayaelewa kwenye vichwa vyenu tu.

Magufuli mwenyewe sasa hivi ameshakuwa comfortable na kazi yake na anachotaka ni kazi tu hakuna kuremba na watanzania tumemuelewa.

Lissu na Membe watashindana na Magufuli you guys are a joke kama mnaamini wana hiyo chance kwenye sanduku la kura.

Hivi ata kwanini mnataka kupoteza muda wa kura za raisi wakati mshindi anajulikana tayari ni Magufuli.

Mwenye macho aambiwi tazama miaka mitano ya Magufuli ni miujiza.
1.5 T zimekwenda na maji.
 
Back
Top Bottom