Yadaiwa Makonda alimwaga Rushwa Kigamboni, mratibu wake alikuwa Jack Pemba

Aug 22, 2010
7
45
Huyu Noel Severe wa Arumeru Magharibi huku Arusha anatajwa kutumwa na wakuu na kamwaga mifwedha haswa kashika kata zote hata waliodhani watashinda wameshangaa kibao kilivyogeuka.. unalishwa Rushwa plus Yamini babaake huachi kupiga Kura ya ndiyo.

Huyo mkwe wa Lowasa unategemea nn
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,416
2,000
Angekuwa hana mpinzani angekubali ashindanishwe na wanaCCM wenzake
It’s customary not to challenge: do you even know how many unwritten laws are there globally as a result of customary practices which can be reinforced in courts.
 
mwayena

JF-Expert Member
Apr 21, 2016
2,888
2,000
Ukusikiliza juzi alichoongea sasa hivi ni muda campaign karuhusu mikutano.

Nchi aiwezi kuwa na campaign kila siku baada ya uchaguzi labda kama inataka kutengeneza anarchy; watu walizoeshwa vibaya hakuna nchi inayo ruhusu mikutano ya hadhara baada ya uchaguzi hayo mambo yalikuwa Tanzania tu dunia nzima; kama una sehemu nyingine leta ushahidi. It had to stop.

Kinachosikitisha ni kumuongopea Lissu wenu ana nafasi dhidi ya Magufuli; kwa lipi Lissu alilowahi wafanyia watanzania.

Sasa hivi kuna shule huko za serikali wazazi ambao walikuwa wanapeleka watoto pricate wanalialia watoto zao waende baada ya Magu kuzijenga, kuna mazao huko watu wanafikia baada ya Magu kuwajengea barabara; in short kuna kila kitu kwa kazi ya Magufuli.

We endelea kuota tu
Mmezoea kudanganya watanzania kwa propaganda za kijinga sana, Ccm ilishakufa mzee, kilichopo Ni police,tume, Takukuru na vyombo vyote vya ulinzi kuwabeba lakini Kama chama Cha siasa kilishajifia zamani. Unasema kapiga kazi, kazi Gani ndugu? Kazi za kupitisha bajeti hewa wizara hazipewi fungu linalotamkwa bungeni? Mnadhani hatuyaoni na kusikia? Watu wanadhulumiwa haki zao za kuishi, nyumba zinabomolewa kukiwa na zuio mahakamani, vipi korosho mwaka huu hamnunui?😂😂😂. Kafeli huyo mzee, Hebu tuambie alitumia Sheria Gani kuzuia mikutano? Nyie watu msidhani Kila mtu Ni zombie Kama mlivyowachukulia watanzania kwa miaka Mungu. Toka ubunge mpaka hapo 2015 alipopitishwa kwa hisani ya lubuva hajawahi kuwa na uwezo wa kushindana kwa hoja. Ni kupanic, hasira ,uongo, ukatili nk.Hayo mengine danganya nafsi yako usilete upuuzi eti watanzania wamemchagua.labda wewe na family yako.
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
986
1,000
Mpigie sele 0715132277 atakupa mbinu zote walizokuwa wakitumia kugawa Rushwa Kigamboni na mpaka sasa anazo pesa zingine za kutengeneza fitna za kumchafua ndungulile huko Kigamboni

Aisee kwahyo Bashite alipopigwa chini ameona amuharibie na Faustine?
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,416
2,000
Mmezoea kudanganya watanzania kwa propaganda za kijinga sana, Ccm ilishakufa mzee, kilichopo Ni police,tume, Takukuru na vyombo vyote vya ulinzi kuwabeba lakini Kama chama Cha siasa kilishajifia zamani. Unasema kapiga kazi, kazi Gani ndugu? Kazi za kupitisha bajeti hewa wizara hazipewi fungu linalotamkwa bungeni? Mnadhani hatuyaoni na kusikia? Watu wanadhulumiwa haki zao za kuishi, nyumba zinabomolewa kukiwa na zuio mahakamani, vipi korosho mwaka huu hamnunui?😂😂😂. Kafeli huyo mzee, Hebu tuambie alitumia Sheria Gani kuzuia mikutano? Nyie watu msidhani Kila mtu Ni zombie Kama mlivyowachukulia watanzania kwa miaka Mungu. Toka ubunge mpaka hapo 2015 alipopitishwa kwa hisani ya lubuva hajawahi kuwa na uwezo wa kushindana kwa hoja. Ni kupanic, hasira ,uongo, ukatili nk.Hayo mengine danganya nafsi yako usilete upuuzi eti watanzania wamemchagua.labda wewe na family yako.
Hizi sasa ndio hasira za mkizi...

Kwa idadi ya watu waliojitokeza kugombea uchaguzi wa CCM tena kwa ada ya laki moja unaweza thubutu sema chama kimekufa kweli au ni kujifurahisha tu.

Waambie CDM wajaribu kama watu elfu kumi watajitokeza kwa ada ya laki moja kwenye ubunge tu. Idadi ya madiwani inaweza fika elfu 50 kirahisi tu kwa ada ya elfu kumi. Waambie CDM wafanye ivyo kama watapata muitikio.

Kuhusu kazi ya Magu sijui upo wapi nikusaidie kuona ya mzee baba inayokunufaisha wewe; usijali sema ulipo upewe kazi iliyotendeka huko ulipo hili na wewe ujivunie.

Hakuna sehemu ambayo Magufuli ajagusa kwa namna moja ama nyingine. We sema ulipo upewe kazi iliyofanyika; Magufuli anataka nchi isonge na kila mtanzania aguswe.

Haya sio mashindano njoo na facts ujibiwe na facts.

Miaka mitano mingine ya Magufuli mwenye kupinga ni chizi tu.
 
Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
1,323
2,000
Shilingi ngapi waligawa?

Million 300, Bashite alikua wanatoa million moja kwa kila mjumbe
Binamu yangu kapewa tena alisaulika wakapelekewa siku moja kabla ya uchaguzi kumalizia rushwa finishing 😂😂😅
 
Haya_Land

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
4,797
2,000
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
I can't vote for utopolo country.
 
sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
890
1,000
.....
Pamoja na Kigamboni maeneo mengi kulikofanyika uchaguzi huo yamedaiwa kugubikwa na vitendo vya rushwa, huku wabunge waliomaliza muda wao wakitajwa kutumia fedha nyingi kuwahonga wajumbe.

Mmoja wa wagombea kutoka Lindi amesikika akilalamika kuwa mafao ya wabunge waliomaliza muda wao yametumika kuminya haki katika mchakato huo.
Bora huyo mjumbe ametambua sasa, ila hivyo ndivyo chaguzi zilivyo Tanzania. Hakuna chaguzi za huru na haki hata siku moja kwa kuviweka vyama vinavyopewa ruzuku vishindane sawa na visivyopewa ruzuku, ni kujidanganya. Ama sivyo maana ya uchaguzi huru na wa haki hatuijui.
 
Mchajikobez

JF-Expert Member
May 25, 2018
372
1,000
Hivi makonda ndio mpambe wa jack pemba au jack pemba ndio mpambe wa makonda,sielewi
Mkakati wa timu ya Makonda kuhakikisha zinapatikana kura nyingi za maoni kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu Jimbo la Kigamboni uligubikwa kwa rushwa, imebainika.

Rushwa hiyo iliyotembezwa waziwazi kwa wajumbe wa mkutano huo uliomalizika leo, imedhihiri baada ya wapambe wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanza kuwatukana na kuwatisha baadhi ya wajumbe hao.

Waliokula pesa na kuhisiwa kutompigia kura waitwa wahuni

Mara baada ya matokeo ya wagombea hao wa CCM kutangazwa, wapambe wa Makonda, wengi wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano walisikika wakitukana na kuwaita wajumbe waliodai wamekula pesa zao kuwa ni “wahuni.”

Mmoja wa wapambe hao, Jack Pemba aliyeonekana mara kwa mara maeneo ya Kigamboni tangu wiki iliyopita akiwa na Makonda, alisema “Kigamboni watu wajinga sana, wanaacha mpiganaji?” hapa akionekana kumaanisha Makonda.

Jack Pemba anatajwa katika safari zake za Kigamboni kuwa alikuwa akifuatana na timu ya wapambe wenzake kusaka wajumbe na kuwapa rushwa.

Katika uchaguzi huo, Makonda aliambulia kura 122 huku mbunge aliyemaliza muda wake, Dkt. Faustine Ndugulile akiibuka kidedea kwa kura 190.

Jack Pemba ambaye amekuwa akijinadi kuwa “rafiki na ndugu tajiri” wa Makonda, aliwasili nchini Jumanne ya wiki iliyopita.

Pemba aliwaeleza marafiki zake kwamba amekuja “kumaliza kazi Kigamboni” kwani ana mzigo wa kutosha (pesa).

Pamoja na Kigamboni maeneo mengi kulikofanyika uchaguzi huo yamedaiwa kugubikwa na vitendo vya rushwa, huku wabunge waliomaliza muda wao wakitajwa kutumia fedha nyingi kuwahonga wajumbe.

Mmoja wa wagombea kutoka Lindi amesikika akilalamika kuwa mafao ya wabunge waliomaliza muda wao yametumika kuminya haki katika mchakato huo.

CHANZO: Makonda alitembeza rushwa Kigamboni. Wapambe wake wawawakia waliokula pesa zao
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,668
2,000
Huyu Noel Severe wa Arumeru Magharibi huku Arusha anatajwa kutumwa na wakuu na kamwaga mifwedha haswa kashika kata zote hata waliodhani watashinda wameshangaa kibao kilivyogeuka.. unalishwa Rushwa plus Yamini babaake huachi kupiga Kura ya ndiyo.
Ndiyo maana tuna matahira wengi,sababu ni hizi yamini
 
isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,168
2,000
Huyo jaki labda alipewa fuko la hela akae nalo,mbona amechoka sana kudhamini pambano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom