Yaani unauwezo wa gari na taa inakushinda

Yaani unauwezo wa gari na taa inakushinda

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,285
Reaction score
61,264
1401096084149.jpg
 
Amekosa mkopo wa kununua taa.
Inawezekana wanamuibia za upande wa kulia kila siku, na akienda Gerezani anauziwa tena za kwake mwenyewe ndio maana ameamua kuondoa mzizi wa fitina
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, hapa hata traffic wajipange
 
Ooyooo hata hizo tochi nazo ni dili sana ni bora angeweka kibatari ni safi sana na kingekuwa cha kudumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom