Yaani mzee ame dead kama masihara, wanawake makatili!

Ukweli hio ni bahati mbaya,,, Wanawake ni makatili ndio(nakubali),, ila huyo ilikuwa bahati mbaya....alikuwa anaokoa marinda yake...so alisimama kwenye misingi yake.....so aliua bila kukusudia.....

Atahalalisha uuaji wake ile siku ambayo atakutana na kijana bitozi then aliwe tiGo kimasihara....

so atunze sana marinda,, kwa sababu yametunzwa kwa gharama ya uhai wa mzee wetu....
 
Daaah leo nimesikia habari mbaya mno, kuna mzee marehemu kabla ya kufariki aliongeza mke wa 3. Huyu mke alikuwa ni binti tu wa miaka 23. Kwa mujibu wa huyu binti, anasema siku moja usiku alishtuka usingizini na kukuta mzee anafosi kuingiza uume kwenye tigo.

Binti anasema alimsukuma, kwa kuwa mzee hakutegemea, akaanguka kutoka kitandani mpaka chini, akaangukia kichwa. Alifariki!

Binti aliua mumewe.

Haya alisimulia huyu binti kwenye group moja la mikasa Mara baada ya kutoka jela kwa msamaha wa Rais.

Mpaka leo hakuna anayejua siri hii isipokuwa yeye mwenyewe, na wale aliowasimulia mkasa wake.

Wanawake wauaji!!!!

Maswali ya kujiuliza:

  • Mzee alikufa?
  • Tunaweza mrudisha?

Kama maswali hayo yatajibika vizuri utagundua binti wa watu a atakiwa awe huru
 
Ukweli hio ni bahati mbaya,,, Wanawake ni makatili ndio(nakubali),, ila huyo ilikuwa bahati mbaya....alikuwa anaokoa marinda yake...so alisimama kwenye misingi yake.....so aliua bila kukusudia.....

Atahalalisha uuaji wake ile siku ambayo atakutana na kijana bitozi then aliwe tiGo kimasihara....

so atunze sana marinda,, kwa sababu yametunzwa kwa gharama ya uhai wa mzee wetu....
Mzee mpumbavu unakulaje tigo kwa kuvamia😅
 
Daaah leo nimesikia habari mbaya mno, kuna mzee marehemu kabla ya kufariki aliongeza mke wa 3. Huyu mke alikuwa ni binti tu wa miaka 23. Kwa mujibu wa huyu binti, anasema siku moja usiku alishtuka usingizini na kukuta mzee anafosi kuingiza uume kwenye tigo.

Binti anasema alimsukuma, kwa kuwa mzee hakutegemea, akaanguka kutoka kitandani mpaka chini, akaangukia kichwa. Alifariki!

Binti aliua mumewe.

Haya alisimulia huyu binti kwenye group moja la mikasa Mara baada ya kutoka jela kwa msamaha wa Rais.

Mpaka leo hakuna anayejua siri hii isipokuwa yeye mwenyewe, na wale aliowasimulia mkasa wake.

Wanawake wauaji!!!!
"Mzee marehemu kabla ya kufariki" mbona utata na majanga juu yake.
 
Ukweli hio ni bahati mbaya,,, Wanawake ni makatili ndio(nakubali),, ila huyo ilikuwa bahati mbaya....alikuwa anaokoa marinda yake...so alisimama kwenye misingi yake.....so aliua bila kukusudia.....

Atahalalisha uuaji wake ile siku ambayo atakutana na kijana bitozi then aliwe tiGo kimasihara....

so atunze sana marinda,, kwa sababu yametunzwa kwa gharama ya uhai wa mzee wetu....
Hahahahah eti kwa gharama ya uhai wa mzee wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom