Yaani Mauzo ya Msimu mzima wa 2020/21 ya Jersey za Yanga ilikuwa Milion 45?

Na hiyo ndio maana ya utopolo kelele nyingi ,pia usisahau mauzo ya jezi walizo zindua utopolo juzi hawataki kuyaweka wazi maana wanajua ni aibu kubwa mno sisi tunawachora tu
Wewe kaa pembeni na Jersey zenu nyepesi kam Night dress
 
Huu utakua uongo motisha kwa wachezaji imeandikwa 120m na wakati tunaambiwa motisha waliopata baada ya kushinda game ya simba trh 3july ni 500m au mi ndo sijaelewa
Hahahahah nilikutana Na wachezaji wa Yanga kwenye birthday ya shikalo....wengi wanashea mageto.....ndo Hawa waliopewa mil500 Kwa Mechi moja?
Au wewe unahisi tunaongelea Yanga ya Mars
 
Kwenye media wakishinda game ya simba wanapewa bonus kwa wachezaji million 500 kwenye daftari la mapato na matumiz wanapokea bonus ya miliion 120 tena kwa msimu sasa najiuliza

1.mechi ya Simba haipo ndani ya msimu husika na inatengwa

2.wanafanya haya kukwepa kodi

3. Au kuna yanga 2

Mkuu nikusaide Tu hamna yanga duniani inayopewa mil500 Kwa Mechi moja.

Wale jamaa Wana Maisha magumu mno
 
Utopolo ni kweli hamna elimu ndio.
Na msukule kaja kuwaambukiza upumbavu zaidi maana upumbavu wake Simba ilikukataa.

Hivi kama mngekuwa na elimu hata kidogo si mnngejiuliza logo kwenye jezi maana yake ni nini...ninyi mnafikiri ni mapambo ya jezi.Ila kwa vile tatizo ni elimu,acha mpigwe sana
Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?

Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui.

Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati kabisa. Mnatukosea sana sisi wananchi wenye uelewa. Haya bwana. Hamna shida. Kuna siku itanyesha tutajua panapovuja.

Sema tunadanganyika vipi?
Kwa hiyo wewe unaamini vunjabei Katoa 2bn halafu ndiyo akaanza kutengeneza jezi na kofia?
Mikataba ya kits ipo complicated zaidi ya kusema tu, Kuna clauses nyingi, ambapo baadae ukizitimiza maximum yake ni 2b.
Usiongee kama mtu usiyejishughulisha.
 
Hiyo ni misukule ndo maana haijali timu yao utopolo. Wao kama kuendelea kuibrand simba
 
Kwa hiyo wewe unaamini vunjabei Katoa 2bn halafu ndiyo akaanza kutengeneza jezi na kofia?
Mikataba ya kits ipo complicated zaidi ya kusema tu, Kuna clauses nyingi, ambapo baadae ukizitimiza maximum yake ni 2b.
Usiongee kama mtu usiyejishughulisha.
mkataba wa iyo pesa ni wa miaka miwili,kila mwaka ni b1.hata kama atafanya mauzo ndo alipe kwa awamu lakini mwisho wa siku ni pesa zitakazoinufaisha timu.Simba kama club ya Tanzania imeonyesha kuwa jezi ni chanzo kizuri cha mapato ya club,Simba imeonyesha kuwa inawezekana na wengine waige tu akuna namna.
 
Huo mkataba hauna tofauti na wa Yanga kwa taarifa yako.
Aliwahi kuomba tenda yanga kwanza, akakataliwa , GSM akashinda. ni vizuri kabla ya kusema eti tumepata bil 2 mkononi uangalie clauses za mikataba ya jezi na merchandise duniani huwa haitofautiani sana na siyo eti unapewa cash kiholela.
 
dogo unaongea usichokijua. Tupe hizo clauses hapa tuzione. mkataba wa yanga na gsm ni 1300 kwa kila jezi na simba na vunja bei ni 1b kwa msimu na umewekwa wazi. hebu fafanua hizo clauses unazosema hapa kwa uwazi basi tuzijadili. ukweli ni kwamba yanga mna maneno tu vitendo ni zero
 
Nianze kwa kukuuliza kwanza, Mo Sports umeuona mkataba wake na Simba ukiandikwa kwenye magazeti?
Wamechangia kiasi gani kwenye mkataba wa jezi? Na hizo hela zinaenda kwa SSc company limited au Vunjabei ?
Tujulishe hilo kwanza, kwa sababu wewe umesema kila kitu kipo wazi. tuonyeshe kwanza Mo Sports imeingia lini mkataba wa jezi na inanufaika vipi?
1630913376010.png

Akizileta unitag mkuu
 
Huo mkataba hauna tofauti na wa Yanga kwa taarifa yako.
Aliwahi kuomba tenda yanga kwanza, akakataliwa , GSM akashinda. ni vizuri kabla ya kusema eti tumepata bil 2 mkononi uangalie clauses za mikataba ya jezi na merchandise duniani huwa haitofautiani sana na siyo eti unapewa cash kiholela.

Yanga wapate mkataba wa 2bn wakae kimya.Kuomba tenda Yanga hakuna uhusiano wowote na Tenda ya Simba! Kwamba kwakuwa aliomba Yanga akakosa kwa hiyo alivyokuja Simba akaomba terms ziwe sawa na za Yanga alikokosa tenda.Mkuu na sisi tunatumia akili kufikiria ujue
 
Nianze kwa kukuuliza kwanza, Mo Sports umeuona mkataba wake na Simba ukiandikwa kwenye magazeti?
Wamechangia kiasi gani kwenye mkataba wa jezi? Na hizo hela zinaenda kwa SSc company limited au Vunjabei ?
Tujulishe hilo kwanza, kwa sababu wewe umesema kila kitu kipo wazi. tuonyeshe kwanza Mo Sports imeingia lini mkataba wa jezi na inanufaika vipi?
View attachment 1926093View attachment 1926093

Usihamishe mada,leta hizo Clauses za GSM kwa Tenda ta kitengeneza jezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom